Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
I don't like pop
But MJ is great than Pac and Bob.
But MJ is great than Pac and Bob.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuhusu lucky dube dah huyu mshikaji mwamba sana lazima utasikia tu ngoma zake zikioigwa alafu bob na TupacMimi nakataa kuwa Nyota ya hao miamba imefutuka, kuanzia MJ ,Bob ,Lucky na hata 2pac wote bado wanakumbukwa ila ni kutokana na interest ya mtu na mtu kwenye ladha ya muziki
Jamaa kajibadiri kabisa aonekane kama wao
Angalia na wewe ulivyo jumuisha na kuhitimisha kishamba na kimihemkoMleta mada acha kuchukulia mazingira yako ya Temeke halafu uka conclude Dunia nzima. Nani anmkumbuka Tupac na Marley zaidi ya wavuta Bangi wenzao?
Pac alikuwa mwanaharati bro, Afeni alikuwa member wa black panther kwa hiyo pac alikuwa na spirit hiyo.Kama unaita hizo nyimbo ni za harakati basi hujui maana ya harakati. Kuna mamia ya nyimbo zenye meseji kama hizo nyimbo, walioimba wote ni wanaharakati? Mnachanganya inspiration na activism.
Kila anayejifunza kucheza lazima amtumie MJ kama case study[emoji16]Style za kucheza kila siku zinatungwa mpya ila mashahiri dhatit yanaishi milele
Endeleeni kubishana msicho kijua, kwa taarifa yenu MJ ndio msanii anaeingiza pesa mingi kuliko msanii yeyote yule alie fariki sio movi sio musicMichael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Bora hata ww ulikumbuka ku google, MJ anatengeneza pesa mingi mingi kila saa kila dk kila siku kuliko wasanii wengi wakali tena walio hai
Kila anayejifunza kucheza lazima amtumie MJ kama case study[emoji16]
Afeni kuwa member wa Black Panther hakumfanyi Pac kuwa mwanaharakati. Kuwapiga risasi polisi nao ni uanaharakati? Tupac alikuwa outspoken, baadhi ya nyimbo zake zilikuwa emotional na inspiring, lakini kumuita mwanaharakati is going too far.Pac alikuwa mwanaharati bro, Afeni alikuwa member wa black panther kwa hiyo pac alikuwa na spirit hiyo.
Pac aliwafyatulia risasi za makalio polisi baada ya kuwakuta waKim treat mtu mweusi vibaya.
Hiyo ni harakt ya kumpambambania mtu mweusi
Haohao wa Amapiano lazima at some point walimtumia MJ kwenye dance zao kisha wakajitafuta wakajipata kivyaoAmapiano hizo hazina kumuangalia MJ, watu wanatupa tupa mikono tu na kurembua macho
Haohao wa Amapiano lazima at some point walimtumia MJ kwenye dance zao kisha wakajitafuta wakajipata kivyao
Sikupingi ila hiyo siyo ishu wengine wanachukua nyimbo kuto Kwa watu na wengine waliziifadhi kwahiyo hawana muda wakuingiaingia mtandaoni maana Hawa wasanii waliishafariki na hawatoi nyimbo mpya unadhani wanao ingia sana kuchukua nyimbo za mj watakuwa ni waafrikaEndeleeni kubishana msicho kijua, kwa taarifa yenu MJ ndio msanii anaeingiza pesa mingi kuliko msanii yeyote yule alie fariki sio movi sio music
Cheki hiyo graph ikionesha taarifa za wasanii na vipato vyao baada ya kufa miaka 5 iliyopita
At the age of 18, Tupac aliamua kuwa active member wa New Afrikan panthers.Afeni kuwa member wa Black Panther hakumfanyi Pac kuwa mwanaharakati. Kuwapiga risasi polisi nao ni uanaharakati? Tupac alikuwa outspoken, baadhi ya nyimbo zake zilikuwa emotional na inspiring, lakini kumuita mwanaharakati is going too far.
Kuwa mwanaharakati sio lazima uingie Frontline huku umeshika mtutu, Bob alikuwa mwanaharati kwa kuhamasisha tu kupita nyimbo mbali mbaliAt the age of 18, Tupac aliamua kuwa active member wa New Afrikan panthers.
Group of 7 to 10 young people aged 13-25 years.
Engaged in community control, worked against police abuse, educated the community about NAPO, and advocated for the release of political prisoners.
Pia kwenye kwenye movie 🎦 ya ALL EYES ON Me inayo elezea kuhusu violence, mass incarceration, illegal drugs, political brutality and racism.
Tupac hajawahi kuwa member wa Afrikan Panthers. Last week nimeangalia documentary mpya ya Tupac inaitwa Dear Mama:The Saga of Afeni and Tupac Shakur. Walizungumzia kuhusu Afrikan Panthers, Tupac hakuwa member.At the age of 18, Tupac aliamua kuwa active member wa New Afrikan panthers.
Group of 7 to 10 young people aged 13-25 years.
Engaged in community control, worked against police abuse, educated the community about NAPO, and advocated for the release of political prisoners.
Pia kwenye kwenye movie [emoji688] ya ALL EYES ON Me inayo elezea kuhusu violence, mass incarceration, illegal drugs, political brutality and racism.