Nyimbo nyingi za MJ zipo kwenye frictional character sio uhalisia
Nitajie hizo nyimbo nyingine za MJ zenye ushawishi kwenye jamii ukitoa mapenzi na burudaniUnabadilikabalika kama kinyonga. Mwanzo ulisema Michael hakuimba hizo nyimbo. Nimekupa mfano hai sasa unasema sio nyimbo nyingi. I'm not a fan of Michael Jackson lakini nataka nikuulize swali jepesi tu, who's most influencial person in the music history between Michael Jackson and 2Pac? Answer that question first then we can talk
Nadhani tofauti kubwa ipo hapo. Bob na Tupac walikuwa wnaandika mashairi yanayogusa maisha ya watu wa chini kabisa. Tufauti na MJUshawishi kwenye jamii kingine walikua wanaongelea mambo reality kabisa ambayo yanatokea kwenye jamii kila siku tofauti na MJ
Michael pia alikuwa activist... Na alijizolea sifa kwa Hilo! Tazama Ngoma zake!Sababu ni moja tu.
Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.
Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.
Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.
Kwahiyo MJ Hana nyimbo ambazo zinagusa maisha ya watu wa chini? Are you serious?Nadhani tofauti kubwa ipo hapo. Bob na Tupac walikuwa wnaandika mashairi yanayogusa maisha ya watu wa chini kabisa. Tufauti na MJ
Nitajie hizo nyimbo nyingine za MJ zenye ushawishi kwenye jamii ukitoa mapenzi na burudani
NakaziaMleta mada acha kuchukulia mazingira yako ya Temeke halafu uka conclude Dunia nzima. Nani anmkumbuka Tupac na Marley zaidi ya wavuta Bangi wenzao?
Hii yote inamaanisha nini?Maua hunyauka, story huisha na kumbukumbu husahaulika...
Mbona hata nyimbo zake zinaonesha jamaa alikuwa mwanaharakati? Mfano sikiliza wimbo unaoitwa "Change"Nilijua tu utarukia huko. Taabu yenu nyie Tupac stans huwa mnataka kulazimisha historia ya Afeni kuwa ndio ya Tupac.
Kuna nyimbo ngapi zenye theme kama huo wimbo? Ina maana walioimba wote ni wanaharakati?Mbona hata nyimbo zake zinaonesha jamaa alikuwa mwanaharakati? Mfano sikiliza wimbo unaoitwa "Change"
Zipo nyingi! Sema unahitaji kutuliza akili! 2pac alikuwa ni miongoni mwa watu wenye akili kali sana! Ndiyo maana nyimbo zake zilitumika kufundishia mpaka Vyuo vikuu!Kuna nyimbo ngapi zenye theme kama huo wimbo? Ina maana walioimba wote ni wanaharakati?
Nyimbo zake kutumika mashuleni haimaanishi kwamba alikuwa mwanaharakati. Nas, Jay Z na Kendrick Lamar wote lyrics zao zimetumika kwenye courses za vyuoni.Zipo nyingi! Sema unahitaji kutuliza akili! 2pac alikuwa ni miongoni mwa watu wenye akili kali sana! Ndiyo maana nyimbo zake zilitumika kufundishia mpaka Vyuo vikuu!
Si kila aimbaye ni mwanaharakati! Nadhani inategemeana na anachoimba! Wazungu wengi hawakumpenda! Aliwakemea