Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

Tupac &Bob wote walichangia kwa kias kikubwa kuhamisisha uhuni, usela mambo kama hayo na Sasa kizazi cha uhuni na usela kimeshamili hatari
 
Hajawahi kuwa member wa hiyo kitu. Nipe source ya hiyo claim yako.
 
Mleta mada acha kuchukulia mazingira yako ya Temeke halafu uka conclude Dunia nzima. Nani anmkumbuka Tupac na Marley zaidi ya wavuta Bangi wenzao?
[emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka nisikoment ila hii[emoji23][emoji23]
 
MJ mwezi November ni wake karibu nchi nyingi duniani hufanya kumbukumbu juu yake na hasa kwa kibao chake Cha Thiller...
 
Anaweza akasema ila stape hazionekani kama zinaendana na za MJ
Hiyo choreography ipo inspired na thriller na ndio maana alimtaja, nakuletea nyingine kutoka kwa Kamo Mphela
 
katika ukuaji wangu nmekuwa nikisikia nyimbo za tupac na kuziona picha zake nikajua yupo hai, nmekuja kusikiliza history kumbe kavutaa kitambooo sanaa
Kwahiyo wakati anavuta ulikuwa hujazaliwa?
 
Sababu ni moja tu.

Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.

Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.

Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.

Nakazia hapa

Plus Hip Hop na Raggae ni miziki yenye tamaduni na misingi inayo enziwa sana tofauti na aina zingine za miziki
 
Nakazia hapa

Plus Hip Hop na Raggae ni miziki yenye tamaduni na misingi inayo enziwa sana tofauti na aina zingine za miziki
Halafu nilimsikia Innocent Nganyagwa anasema hip hop imetokana na reggae hasa aina ya reggae ragga ambyo hukosoa Zaid mambo ya kisiasa
 
Sababu kuu ni kwamba, MJ amekufa akiwa ameshashuka kimuziki.

Ila 2pac na Bob wamekufa wakiwa kwenye peak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…