Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Wengi humu kinachowakuta ni kuutamani msiba wa wengi, kutafuta pa kupumulia baada ya kukutana na vipigo vya wanawake wa mjini. Tamanio la kiubinadamu kuwa si mimi tu, kuna yule na huyu na yule.

Ndo maana ukiingiza "mama" wanatoa exception za mama zao, utasikia ukitoa mama yangu, wanasahau kuwa huyo mama yake ni mwanamke wa baba yake si mwanamke wake, na pengine ameshawahi kuwa na mwanaume akamfilisi kabla hajakutana na baba yake na kuwa mama kwake.

Maisha hayapo fixed kuwa njia ni hii. Watu wanabadilika, Unakutana na mwanamke mhuni wa leo kwako ila ni malaika wa kesho kwa mwanaume mwingine.

Unakutana na mwanamke malaika wa leo kwako anageuka mhuni wa kesho kwa mwanaume mwingine au unakutana na malaika mwanzo mwisho au vice versa hakuna general rule.

Wapo wanaume wamefanikiwa kupitia wanawake, wapo wanaume wamefilisiwa na wanawake, wapo wanaume wamewadhulumu wanawake mali zao kwa jina la mapenzi.

Wapo wanawake wanataka fedha zako tu, na wapo wanawake wanataka uwe baba kwa familia na akakuvumilia hata ukiwa huna kitu na akanyanyuka na wewe unapokuwa na kitu.
Ni kama unalazimisha kusawazisha ukweli ufanane na fikra zako jambo ambalo si kweli. Kwa sasa tuonger ukweli, women born from the late 1980's kuja huku 2000 lack that important characteristics set that makes them women to men.

Kizazi hiki cha sasa cha wanawake wanachokileta katika maisha ya mwanaume si support bali changamoto zao personal. Na ndio maana single mothers ni wengi sana na mabinti ambao wanajinasibu kuwa ni single ila behind the scenes wagongwa na wanaume hata watano kwa wakati m'moja ni wengi sana.
 
Sasa hapo wewe ndie umefanya generalization ya mada. Umefanya jumla au kutafuta wastani. But in reality mleta uzi haja assume facts, ameongea uhalisia.

Kuna vitu ambavyo kwasasa huwezi sema ni vya wastani wakati vimepitiliza hadi ile kawaida.
Ok boss
 
Hivi vitu unavyosema mwanamke anafanya kwenye mahusiano ya sasa utakuwa unadanganya. Umeongea kinadharia sana. Mabinti wa sasa wapo kimkakati sana. Ukiona anamfulia mwanaume anamfanyia hayo yote basi jua mwanaume kuna mzigo wa bili analipa kwa huyo mwanamke ambao kwa mwezi haupungui laki 3. Kuanzia saloon, chakula, bodaboda, vocha, mitoko, mavazi, madeni, kusapoti familia yake indirectly, na kadhalika. Hivi tayari vinafanya idea kuwa huyu mwanamke ni yupo hapo kujitoa kimapenzi kuwa ni ys uongo na utapeli. Hapo huyo mwanamke kaja sababu anatafuta unafuu wa maisha hali si nzuri, ila sio kwasababu ana mapenzi ys dhati.
Ok, sahihi kabisa.
 
Ni kama unalazimisha kusawazisha ukweli ufanane na fikra zako jambo ambalo si kweli. Kwa sasa tuonger ukweli, women born from the late 1980's kuja huku 2000 lack that important characteristics set that makes them women to men.

Kizazi hiki cha sasa cha wanawake wanachokileta katika maisha ya mwanaume si support bali changamoto zao personal. Na ndio maana single mothers ni wengi sana na mabinti ambao wanajinasibu kuwa ni single ila behind the scenes wagongwa na wanaume hata watano kwa wakati m'moja ni wengi sana.
Ok mtaalam.
 
Why umeassume ana maumivu? Why mwanaume akizungumza negative side ya mwanamke inaonekana au kuchukuliwa ni attack na sio aina ya elimu ambayo wanaume especially watoto wa kiume wanatakiwa kumezeshwa mapema?

Why? [emoji848]
Uko wapi.....
 
Ni kama unalazimisha kusawazisha ukweli ufanane na fikra zako jambo ambalo si kweli. Kwa sasa tuonger ukweli, women born from the late 1980's kuja huku 2000 lack that important characteristics set that makes them women to men.

Kizazi hiki cha sasa cha wanawake wanachokileta katika maisha ya mwanaume si support bali changamoto zao personal. Na ndio maana single mothers ni wengi sana na mabinti ambao wanajinasibu kuwa ni single ila behind the scenes wagongwa na wanaume hata watano kwa wakati m'moja ni wengi sana.
Unajua sana.
 
Kitu ambacho wanawake hampendi na huwa mnachukia kuona ni wanaume wakiwa wanapeana elimu na kufumbuana macho maana hiyo inamaanisha awareness inaanza kusambaa kwa wanaume na wanaanza kuwashitukia kwa udhalimu wenu mnaofanya kwa chini chini.

Sasa mleta uzi hakuandika uzi ili wanawake msome kisha mkasilike au mjali, aliandikia wanaume wenzake ili kutengeneza awareness. Ninyi kujali au kutojali haibadilishi yale aliyoyasema ndani ya uzi sababu hakuwalengi ninyi bali sisi wanaume.
Hold your emotions boo…. Hii ni JF ukiandika utajibiwa…. tutakujibu tunavyoweza na tulivyoelewa. Tumekasirika? nope… nothing is real personal….

hakukuwa na disclaimer kuwa wanawake tusijibu!

Btw, ulienda wapi? karibu tubishane! 😂
 
Hold your emotions boo…. Hii ni JF ukiandika utajibiwa…. tutakujibu tunavyoweza na tulivyoelewa. Tumekasirika? nope… nothing is real personal….

hakukuwa na disclaimer kuwa wanawake tusijibu!

Btw, ulienda wapi? karibu tubishane! [emoji23]
Me nipo hapa daily nasoma tu nyuzi.
 
JF hatufahamiani tulio wengi…. kupitia maandishi utafahamu behaviour patterns za mhusika, kuna mambo hayadanganyi…. chukua hii weka mfukoni.

Mtu aliyeenda Shule akapata MAARIFA, atajenga hoja yake kwenye objectivity, kuna tatizo gani kutumia maneno “baadhi” au “sio wote”

Binafsi ni aina ya mwanamke anayemzungumzia mleta mada, sina mchango kwenye maisha ya mwanaume, However kuna wanawake out there nawafahamu ni “wanawake bora” is it fair na wao wakiwekwa kundi moja na Mimi?

Think.
Kufanya arguments na wewe hua ni kupoteza Mda.... Umejijibu vizuri apo mwishoni.
 
komenti hii inakubali komenti hii inakataa msinichanganye bakini na mambo yenu! ila inaonekana kuna malaika na shetani inategemea umekutana na malaika yupi wa shetani au wa mbingu!...
kila mmoja akajichagulie malaika wake sasa
Kakutana na jini hukoo
Anajua kila mwanamke jini kaahh
 
We can put it in this way and still makes sense

"Behind every successful man there's woman,.... yes because no woman follows unsuccessful man"
True. They don't want a scrub. A scrub by definition of the song " No scrub " by TLC is a guy with no money.

If you don't have a car and you're walkin'
Oh yes, son, I'm talkin' to you
If you live at home with your momma
Oh yes, son, (I'm) I'm talkin' to you (baby)
If you have a shorty that you don't show love
Oh yes, son, I'm talkin' to you
Wanna get me with no money
Oh no, I don't want no -

No scrub
No scrub (no, no)
No scrub (no, no, no)
No scrub (no, no)

No, I don't want no scrub
A scrub is a guy that can't get no love from me
Hangin' out the passenger side of his best friend's ride (oh)
Tryin' to holla at me
I don't want no scrub (no)
A scrub is a guy that can't get no love from me
Hangin' out the passenger side of his best friend's ride
Tryin' to holla at me
 
Back
Top Bottom