NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

Nguruvi3 umenena vyema!

Kuna wakati aliyekuwa Jaji Mkuu aligombea Urais kupitia CCM. Nani alijua kuwa Jaji alikuwa na kadi ya CCM!! HakunaInashangaza! Kwamba katiba aliyoilalamikiwa leo anaaminisha umma'' imefanyiwa kazi ''Hata kuziungumzia katika ''uzuri' aliouona hakuthubutu
!Hili nalirudia tena, ni mmoja wa walioamsha hamasa ya wananchi kushiriki siasa na kuhoji serikali bila woga.
Niliwahi kuandika hapa JF, uamuzi wa kuachana na Chadema kwa kutokubaliana na yanayoendelea ulikuwa ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu sana na mfano kwa vijana
Kwamba, kama kuna asiyeridhika na maamuzi ni vema akaheshimu msimamo wake na kusimama na kile anachoamini. Nilimpongeza
Baada ya hapo, Dr akaungana na akina Mwaky kwenda Sheraton kuzungumzia mambo tofauti na yale yaliyosababisha akaachia ngazi, hatua mbaya na mbovu kabisa.
Nilimweleza, heshima aliyoijenga kwa miaka na gharama kubwa itaporomoka.
Ni vema angetulia ili historia imhukumu.
Leo maneno yale yale yanamrudi kuliko mazuri mengi aliyofanya.
Kwa bahati mbaya hakujifunza kutokana na kosa la awali.
Dr Slaa aliwahi lalamikia vinasa sauti ktk godoro kule Dodoma. Umma ulilaani kitendo hicho.
Dr Slaa huyo huyo anaona mtu kupigwa risasi ni jambo la kawaida kuliko vinasa sauti alivyowekewa. Hapa ndipo heshima yake ilipofika 'rock bottom'
Kuandika kitabu kwa rekodi sioni tatizo ikiwa kufanya hivyo kutakuwa na tija katika jamii
Kama ni kwa biashara, timing ni mbaya.Hali ya kisiasa inakifanya kionekana ''uchochezi'' !!
Pili, akiwa na magwanda ya kijani kinachoeleza magwanda ya khaki si mkakati mzuri.
Tatu, kauli zake za hivi karibuni zinazopingana na kile alichosimamia hazisaidiii mauzo.
Kama ''abstract'' ni hiyo ya MM, nachelea kusema kitabu kitaongelea migogoro zaidi kuliko demokrasia aliyosimamia kwa nguvu. Tuna migogoro ya kutosha! Nahitaji kusoma kitu tofauti.
 
Saaa mbona wako naye tena Lowasa kule kule unasemaje ndugu yangu mtani wa hapo Gungu Mwandiga??
Kuna mchezo wa bembea unaitwa mery go round.
Unadandia farasi anatimua mbio na akisimama, unajikuta haujasafiri umesimama palepale ulipodhani unaanzia safari! Hicho ndicho alicholifanya Lowasa.

Lakini si kwa dr. Slaa, pamoja na kulambishwa shavu la ubalozi, hata siku1 hajatangaza kurudi ccm.
Na kama hili nimekengeuka na una vielelezo, weka hilo tukio tulione.
Halafu si kila anayekubali kufanyakazi za serikali ni msisiem.
 
IMG_0001.JPG
IMG_0001.JPGMie nasoma hiki hapa nakielewa zaidi Mzee Mwanakijiji
 
Aeleze pia aliwezaje kuzaa na kuishi na Mama Rose akiwa
Bado padre. Mengineyo ni ugoro tu wa huyu maskini alielelewa na kina Ndesamburo na Mbowe. Maskini akipata........
 
Lakini si kwa dr. Slaa, pamoja na kulambishwa shavu la ubalozi, hata siku1 hajatangaza kurudi ccm.Na kama hili nimekengeuka na una vielelezo, weka hilo tukio tulione.
Halafu si kila anayekubali kufanyakazi za serikali ni msisiem.
Kwanini Jaji Mkuu A. Ramadhani aliwahi kutangaza kuwa ni CCM?
Si watu walijua baada ya kuchukua Form. Lini Katibu mkuu Bushiri aliwahi kutangaza ni CCM?

Kwanini Wapinzani hawapewi kazi za serikali bila kuvaa kivazi cha Lumumba!
Katibu mkuu Kitila! DC wa Tunduru !
 
Akirudi kutoka Swedeni kwenye maandishi ya mwanakitongoji atamkuta Lowasa CCM "strange bed fellows "...alikuwa hataki kulala na Lowasa kitanda kimoja sasa atalala naye.
usiyemtaka kaja, ila wambulu si wanafki namna hii, huyu slaa atakuwa msukuma
 
Kuna mchezo wa bembea unaitwa mery go round.
Unadandia farasi anatimua mbio na akisimama, unajikuta haujasafiri umesimama palepale ulipodhani unaanzia safari! Hicho ndicho alicholifanya Lowasa.

Lakini si kwa dr. Slaa, pamoja na kulambishwa shavu la ubalozi, hata siku1 hajatangaza kurudi ccm.
Na kama hili nimekengeuka na una vielelezo, weka hilo tukio tulione.
Halafu si kila anayekubali kufanyakazi za serikali ni msisiem.
Aisee unampenda Slaa mpaka una boa, ulitaka ajiyangaze?? unadhani ubalozi wanapewa mambulula na wahuni?? Do you know what ubalozi mean?? Unajua ni kwa nini balozi anatangazwa leo lajini inachukua miezi sita hadi mwaka kupelekwa Kituoni?? Unamkumbuka Baloz Mwapachu wa kule zanziba aliopohamia CUF na sasa yuko wapi?? unaijua miiko ya ubalozi chini ya serikali ya ccm??

Comeon boy!
 
Kwanini Jaji Mkuu A. Ramadhani aliwahi kutangaza kuwa ni CCM?
Si watu walijua baada ya kuchukua Form. Lini Katibu mkuu Bushiri aliwahi kutangaza ni CCM?

Kwanini Wapinzani hawapewi kazi za serikali bila kuvaa kivazi cha Lumumba!
Katibu mkuu Kitila! DC wa Tunduru !
Good answers with vivid examples.
 
Wewe na nani na usiponunua unamkomoa nani? Siyo kwamba unajinyima mwenyewe maarifa?
Mkuu povu litakauka! kwa namna unavyovyotetea hiki kitabu inashangaza sana! Dk Slaa alipotea mwaka 2015.Kama angepinga Lowasa kuletwa CHADEMA na gear ya ANGANI ..alitakiwa atulie kwanza;ila kitendo cha kuungana na walewale aliokuwa anawapinga kisa Lowasa inatia mashaka! ...ni kama vile kwake tataizo la CCM ilikuwa ni Lowasa pekee! a😃 😳
 
Biashara hiyo ilishachina zamani sana.

Mimi nashauri,kila mfanyakazi wa serikali anunue nakala moja kwa lazima,na kila siku itengwe japo dk 20 huko maofisini ili kuhakikisha kwamba,kimesomwa na wafanyakazi wote,hata wa ikulu pia wakisome na wakielewe.
Mzee kwani wewe uko wapi, Ulaya?
 
Hapana in watu tofauti sema marafiki sana. Ukichunguza kama ww in mkongwe hapa masjala Dr slaa alikuwa anamatatizo ya sarufi kwenye kuandika tofauti na M.M
Remember Dr. Slaa ni Msomi aliyebobea sana, huenda hua alikua anafanya makusudi ili ajitofautishe, yaani namna yake ya uandishi humu jukwaani na kule Tanzania Daima miaka ile ya 2005-20014 (nimekua nafatilia muda mrefu, over 10 years) bado akili yangu inanambia kwamba Dr Slaa=Mwanakijiji. Nilianza kuhisi siku nyingi but wakati wa sakata la Richmond/Dowans Enzi Dr. Lowassa ( nimeanza na Dr kwa Lowassa makusudi ) anaachia ngazi, yaani maandishi ya huyu mzee ( Mwanakijiji ) na Dr. Slaa kule bungeni, nilikua naona kuna namna Fulani ya kufanana. Anyway, may be nimefanya conclusion mapema though for more than 10 years bado si haba
 
Aisee unampenda Slaa mpaka una boa, ulitaka ajiyangaze?? unadhani ubalozi wanapewa mambulula na wahuni?? Do you know what ubalozi mean?? Unajua ni kwa nini balozi anatangazwa leo lajini inachukua miezi sita hadi mwaka kupelekwa Kituoni?? Unamkumbuka Baloz Mwapachu wa kule zanziba aliopohamia CUF na sasa yuko wapi?? unaijua miiko ya ubalozi chini ya serikali ya ccm??

Comeon boy!
Maelezo mengi mno kwa jibu moja la msingi. Lini alirudi ccm? Maana kigogo yeyote aliyerejea ccm, hakuna aliyerudi kimyakimya.

Wote wamerudi huku wakimulikwa na makamera na wewe ni shahidi. Hili la Slaa kurejea Ccm kimya kimya halina ukweli wowote.
 
Kwanini Jaji Mkuu A. Ramadhani aliwahi kutangaza kuwa ni CCM?
Si watu walijua baada ya kuchukua Form. Lini Katibu mkuu Bushiri aliwahi kutangaza ni CCM?

Kwanini Wapinzani hawapewi kazi za serikali bila kuvaa kivazi cha Lumumba!
Katibu mkuu Kitila! DC wa Tunduru !
Na RC Kilimanjaro alianzaje kupewa hiko cheo?
 
Dkt. Slaa alihamia lini na Wapi CCM? Nina uhakika wa asilimia mia moja hutarudi na jibu la tarehe wala mahali.
Yes, Slaa kahamia CCM. Lini na wapi? kuanzia siku alipotoa ile presentation yake kwenye vyombo vya habari, nadhani channel kama 5 hivi zilitumika siku hiyo. Nani alilipia? Anajua Slaa mwenyewe, lakini ilikuwa kwa faida ya CCM. Alikuwa pamoja na Dr. Mwakyembe, na katika presentation hiyo, alikuwa na lengo la ku-deliver a FATAL BLOW kwa CHADEMA. CCM ilihitaji kuhidhooifisha CHADEMA katika kipindi hicho kibaya sana kwao, ambapo walikuwa weakest. waliipokea zawadi hii nono ya KIGOGO huyu wa CHADEMA, kwa furaha kubwa. ukiangalia presentation hiyo vizuri, ilitarajiwa kuimaliza CHADEMA kwa SHOCK AND AWE BLOW.

Siwezi kukadiria alifanikiwa kiasi gani, lakini naamini kwamba hakufaulu kwa kiwango alichotarajia. Watanzania walimweka Slaa pembeni na kuendelea mbele, kama vile walivyowahi kumweka LYATONGA MREMA pembeni na kuendelea mbele.

Ninachoongelea hapa siyo yale maonesho ya kukabidhiwa kadi katika sherehe maalum, ambayo ndiyo CHALLENGE uliyompa jamaa unayemjibu hapa. Hapa naongelea A DITCHING OF A PHILOSOPHY. Kuweka kando yale unayoyaamini na uliyopigania maisha yako yote. Kupigania haki, kupigania usawa, kupigania utu. Naamini hizi zilikuwa moja ya tunu za Slaa. Angeweza kabisa kuachana na CHADEMA lakini akaendelea kusimama kidete kupigania haki bila kujali huyo anayevunja haki ni nani. wewe mwenyewe Mwanakijiji pamoja na kuufyata mbele ya serikali ya CCM, lakini bado huwa unainua kichwa hapa na pale unapoona Magufuli nas serikali yake wamezidi mno. lakini Slaa hafanyi hivyo. Ameacha kabisa yale mapambano na sasa hivi ANAMTUMIKIA KAFIRI APATE MRADI WAKE.

Inawezekana pia kwamba anataka kuonesha kwamba bila yeye CHADEMA na UPINZANI utakufa. Ndiyo mwelekeo wa hoja ambazo amekuwa akizitoa. Mfano katika kipindi cha Dakika 45 kilichorushwa hivi karibuni, alisikika akiwashangaa wapinzani kwamba hawafuati sheria katika suala la kuzuiliwa mikutano ya vyama vya upinzani. Huwezi kuamini masikio na macho yako. kama IGP Sirro mwenyewe anakiri kwamba suala la Mwangosi lilikuwa aibu kwa jeshi la Polisi, ambapo Slaa kama katibu Mkuu wa Chadema wakati huo, aliandika meseji kali sana kwa IGP Saidi Mwema wakati huo, kutokana na vitendo vya polisi kuvunja sheria. hayo yanaendelea hivi sasa halafu Slaa anawashangaa wapinzani.

Kwa hayo anayofanya, anafanya zaidi hata ya KADA WA CCM, na kwa maana hiyo nasema SLAA KAJIUNGA NA CCM.
 
Watu wengi wenye hekima na busara huwa wanaacha kazi ya fasihi andishi, hasa kupitia utunzi wa vitabu ili kutambulisha yale wanayoyaamini na kutambulisha misimamo yao ktk maisha waliyoyapitia. Ndivyo ambavyo Dr. Slaa amefanya.

Naam! Tunaweza kutofautiana naye kimawazo ama kumuhukumu kwa aina ya maamuzi aliyowahi kuyafanya sehemu fulani ya maisha yake, na pengine hatukuyapenda ikijumuisha; kuacha ukasisi, kutengana na mwandani wake wa awali, kuoa mke mwingine, kutengana na mambo ya kisiasa, kukubali "offer" ya ubalozi ambayo anaihudumu mpaka sasa.

Yote hayo ni mapito ktk maisha yake, na kuendana na umri alioufikia, ndipo hasa ni wakati stahiki wa kuja na "Bibliography" yake. Na sehemu ya nukuu ktk uzi huu ni kwamba; "Umpende, usimpende,....." Yeye ameshafanya jambo muhimu sana ktk fasihi.
Kuandika si hoja. kuna Rubbish nyingi sana zinachapishwa kila uchao. kinachogomba hapa ni ile jitihada ya kutetea vitendo vya Slaa baada ya kuachana na CHADEMA. Kwa vitendo vyake ameonesha kwamba hana msimamo. wasio na msimamo mbona ni wengi tu? bila shaka kitabu hicho kitakuwa kinathibitisha huo undumila kuwili wake. huko nyuma alionekana ni GREAT MAN, lakini huku mwisho ndio amemaliza vibaya kabisa. TOTAL FAILURE. SO SAD.
 
Back
Top Bottom