Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Hata muda wa kuwapikia vyakula vitamu tunakosa.
Mle vyakula vitamu kwa kazi gani? Ila mkitugegeda vizuri, hata mapishi yatakuwa matamu.
Tofauti na hapo mtakula michemsho mpaka mchanganyikiwe.
hakyanani hahaha..

Wanaumeeee... chukueni hii.. hahahaa
 
Mimi zamani niliapa sintoshiriki tendo na mtu nikiwa kwenye ndoa ila wanaume wasasa wanakulazimisha ufanye hivyo .
Seriously .
Nandio chanzo cha maafa ndani ya familia sio kitu kingine.
Au mimi ndo sijakuelewa 😳
 
Iko namna hii,mwanamke akiamua kuchepuka anachepuka tu,hata umpe majumba,magari,na umgonge bao moja dakika 70.
Kama akiamua kutulia atatulia,Kama akiamua kukiwa out hata ufanyeje ataliwa tu.
Nani alikwambia mwanamke anaridhika? Aliemuumba mwenyewe bado anamkosoa itakua sisi wanaume,wamepewa nywele wanaweka wigi,
Kucha wanaweka za bandia,
Nyusi wanaweka za bandia,wewe utaweza wapi kumfanya asichepuke.
Ndo maana myself,hua sihangaiki nao,kwa kuwa nawafahamu hawaridhiki,najua hawana utulivu.
 
hebu tusiwasemee, tusubiri watoe sababu zao.

Swet-R na Diana Spencer watasaidia kujibu hili nimewaona hapa wanasoma kimyakimya
 
kuna comment ya mtu naisubiria hapa
nimeshaweka kituo humu.
 
Back
Top Bottom