Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Hata muda wa kuwapikia vyakula vitamu tunakosa.umenishinda tabia kabisa hahahaha...mpaka mnatuona ng'ombe hakyanani
Mle vyakula vitamu kwa kazi gani? Ila mkitugegeda vizuri, hata mapishi yatakuwa matamu.
Tofauti na hapo mtakula michemsho mpaka mchanganyikiwe.