Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Hili nalo kumbe somo nimekupata lakini kwa nn swala la nyumba ndogo tena linagusa hisia sana kwa wanandoa kama ndoa si kitandani tu na maswala mengineyo lakini hili la nyumba ndogo linahusiana na kitanda.

tamaa....
 
mara nyingi quarrels huanza....NYUMBA NDOGO TO FOLLOW

G naomba nikuuliza, mikakati yako ni kuoa soon, sasa mki quarrel home njia ya ku solve ni wewe kuwa na nyumba ndogo?
 
Ok kumbe hashibi ndo maana anaamua kuonja.

anashibishwa kwa kila hali lakini ikimwingia kitu tamaa ndio huzaa hayo yote, na kwa mfano kama ckushibishi huwezi niambia/shirikisha tujue tunafanya nini kutatua tatizo hadi uende huko nje?
 
ahahahaha they are here to stay n they r goin nowhere...BIG UP KWA NYUMBA NDOGOZ NA TULIO NAZO HONGERENI SANAA...hawa ujue ndio wasaidizi wetu..sema jambo la msingi ni bi-mkubwa asijuwe maana inatela bonge la DTP(disturbance To da Peace) hapo home....

ujue kuna ma-flavour kibao unayapata kwa nyumba ndogo kiasi kuyamiss inakuwa issue sana...na ikumbukwe hizi nyumba zilianza long tyme kitambo hata maandiko yamehalalisha...Abraham si alikuwa na nyumba ndogo yake ...akazaa nayo ishamel...mfalme daudi ...alimega mke wa mtu ..afande wake,...mfalme suleiman ndio usisemee.....hapa natoka na justification tosha na hitimisho...NYUMBA NDOGOZ ARE FOR THE GREAT THINKERS....
 
......PIA ndoa zina so many quarrels!quarrels quarrels quarrels!wanawake bana mnapenda sana quarrels!kwanin lakini?

that is why smtmz watu wanaamua kuwa na nyumba ndogo

Kama wanawake wanapenda sana quarrels ndio maana mnaenda nyumba ndogo, hizo nyumba ndogo siyo wanawake?
Kama ni wanawake, je kuna kozi maalum ya kusomea kuwa nyumba ndogo - in other words is NN a profession, kama ndio basi mjue mnaibiwa tu.Its a matter of time jamani.

Nitamalizia hivi, binadamu kwa hulka aliyoumbwa nayo, anayo tabia ya kupenda mabadiliko. Na hii ni kwa wote wanawake na wanaume.Tofauti iko kwenye mifumo ya maisha,mila, desturi na imani za kidini zenye kutuwekea mipaka.Mipaka hii inafanya watu wawe na kiasi, wajizuie kufanya mambo fulani kwa kuogopa Mungu, jamii, serikali n.k.
Hii mipaka isingekuwepo, basi si ajabu hakuna mwanaume wala mwanamke angebakia na ndoa yake kwa vile kungekuwepo na alternatives za kukimbia kero na kutafuta furaha na faraja.

Inashangaza kuona ati akina kaka walio wengi wanadhani wao wanayo haki kukiuka mipaka lakini wanaamini kabisa kuwa wanawake wao hawapaswi kukiuka. Wanasahau hakuna binadamu mwenye roho y achuma na mwingine ya sufi. Kumbuka usitende usichopenda kutendewa na hii ndio golden rule.Ukijua kuwa kitu fulani kinakuumiza wewe ujue ukimfanyia mwenzio naye utamuumiza. Je ni sawa?
 
tamaa za kutaka kuonja onja kila kitu, ni tabia mbaya sana hii.
kwa mujibu wa dataaz!mwanamke ukimweka ndani anajisahau sana!

mimi nina miaka mitano ya serious relationship na my gal!lakini believe me,I STILL CAN'T EXPLAIN WHO SHE IS!women can pretend up to 100 yrs
 
understood!nipe source ya info zako!TOO THEORETICAL!umekula SENKSI ANYWAYS
 
0009053uRF9.gif

Hivi vitu jamani sio tunakurupuka tu mpaka Obama mwenyewe kakolea kwa nyumba ndogo hiyo.
 
ukishadhani mkeo hakuridhihi, basi jua hata yeye humfikishi, then THINK BIG!
inafika mahala mwanamke anavua ch...i KWA KUTIMIZA WAJIBU TU!hakuna anachokifanya zaidi ya kutimiza wajibu!kidume akishaona huo upuuzi,basi anaanza kushinda baa,mara mabaa medi mara nyumba ndogo!
 
kwa mujibu wa dataaz!mwanamke ukimweka ndani anajisahau sana!

mimi nina miaka mitano ya serious relationship na my gal!lakini believe me,I STILL CAN'T EXPLAIN WHO SHE IS!women can pretend up to 100 yrs

kwa hapo ctakae, ni kweli kabisa! kuna baadhi ya wanawake wanajisahau sana lakini ni kuwasaidia kuwarudisha kwenye mstari G....na kuna wengine wapo kwenye mstari ulosimama lakini unashangaa wanatendwa...haaa jamani sio haki kabisa.
 
Back
Top Bottom