Nyumba iliyojengwa na Bushiri Ali Harthi bado iko Pangani mkoa wa Tanga

Kumbe, Dar es Salaam uko Mtaa wa Mirambo. Bushiri alimilki watumwa, sijui sasa kama aliendesha biashara ya watumwa, lakini Mirambo alifanya biashara ya watumwa hakika. Kuwakamata, kuwanunua, kuwauza. Mtaa anao, sijui mingapi?
La Milambo (na siyo Mirambo) kufanya biashara ya watumwa: kuwakamata, kuwanunua na kuwauza, nalisikia kwa mara ya kwanza kwako. Milambo alikuwa mtemi (chief), kama walivyokuwa Mkwawa, Marealle, n.k. Watemi walikuwa hawafanyi kazi. Watu (subjects) wao ndio walikuwa wakiwalimia mashamba na kuwafanyia kazi zigine zote. Kuibuka kuwa mtemi ni kwa kuzaliwa tu kwenye ukoo huo, na si kwa kujiendeleza hadi upate sifa zinazostahili. Hizo ndizo kasoro alizoziona Nyerere, na mwaka 1963 akafutilia mbali utemi, pamoja na kwamba hata yeye mwenyewe alikuwa mzaliwa wa ukoo wa kitemi na angeweza kuwa mtemi siku za usoni.

Milambo hakuwa tofauti na watemi wengine. Kusema kwamba alikuwa akifanya biashara ya watumwa ni ajabu sana. Sijui kama kuwafanyisha watu wake kazi ndiko unakuita kufanya biashara ya watumwa. Ni kweli kwamba alikuwa mpiganaji hodari wa vita. Waarabu hawakuweza kamwe kuchukuwa watumwa ndani ya himaya yake. Hata misururu ya watumwa iliyokuwa ikitokea Kongo haikuruhusiwa kupita kwenye himaya yake mpaka ilipiwe hongo na Mwarabu mwenye msafara. Sijui kama hiyo pia ndiyo unaiita kufanya biashara ya watumwa. Mwarabu ndiye alidiriki kukamata babu zetu, kuwafunga minyororo, na kuwasafirisha hadi Uarabuni kupitia Bagamoyo. Sikioni kabisa kisa cha kung'ang'ania kumuenzi mtu aliyetufanyia unyama huo.
 
Saudia wko weusi wengi. Ona
iu
H
Wengi, kwa asilimia ngapi ya wananchi wote? Labda 1% walionusurika chujio. Nimekaa Uarabuni kwa miaka mitatu. Kwa hiyo ninafahamu ninachokisema. Marekani watu weusi wanafikia 10% ya Wamarekani wote.
 
Niweke data na picha? Ila Arabs ndio waliotuletea Dini yangu ya Kiislam hilo ndio mengine mhuu.
Data za wapi na unalinganisha kwa kipindi gani? Transatlantic slave trade ilichukuwa muda wa miaka 400 (16th - 19th Century), na ilisafirisha kiasi ya waafrika million 12 (google info). Pia wao walikuwa wakifanya breeding ya binaadamu ili wapate watoto wa kinegro wakubwa na wenye nguvu kwa ajili ya kufanya kazi mashambani.

Aidha waarabu weusi wapo kijana ila siyo wengi kama black americans.
 
La Milambo (na siyo Mirambo) kufanya biashara ya watumwa: kuwakamata, kuwanunua na kuwauza, nalisikia kwa mara ya kwanza kwako. Milambo alikuwa mtemi (chief), kama walivyokuwa Mkwawa, Marealle, n.k. Watemi walikuwa hawafanyi kazi. Watu (subjects) wao ndio walikuwa wakiwalimia mashamba na kuwafanyia kazi zigine zote. Kuibuka kuwa mtemi ni kwa kuzaliwa tu kwenye ukoo huo, na si kwa kujiendeleza hadi upate sifa zinazostahili. Hizo ndizo kasoro alizoziona Nyerere, na mwaka 1963 akafutilia mbali utemi, pamoja na kwamba hata yeye mwenyewe alikuwa mzaliwa wa ukoo wa kitemi na angeweza kuwa mtemi siku za usoni.

Milambo hakuwa tofauti na watemi wengine. Kusema kwamba alikuwa akifanya biashara ya watumwa ni ajabu sana. Sijui kama kuwafanyisha watu wake kazi ndiko unakuita kufanya biashara ya watumwa. Ni kweli kwamba alikuwa mpiganaji hodari wa vita. Waarabu hawakuweza kamwe kuchukuwa watumwa ndani ya himaya yake. Hata misururu ya watumwa iliyokuwa ikitokea Kongo haikuruhusiwa kupita kwenye himaya yake mpaka ilipiwe hongo na Mwarabu mwenye msafara. Sijui kama hiyo pia ndiyo unaiita kufanya biashara ya watumwa. Mwarabu ndiye alidiriki kukamata babu zetu, kuwafunga minyororo, na kuwasafirisha hadi Uarabuni kupitia Bagamoyo. Sikioni kabisa kisa cha kung'ang'ania kumuenzi mtu aliyetufanyia unyama huo.
Hata kama hujasikia: Mirambo anajulikana sana kama mfanyabiashara wa meno za ndovu (hasa) pamoja na watumwa. Labda wenyeji wa huko wanapendelea kusahau sehemu hiyo ya historia yake.
Mirambo alitaka kutawala Biashara. mwezi wa Agosti 1871 alishambulia Tabora (alishindwa kuiteka yote, Waarabu walijitetea na kubaki), 1873 Mirambo alikuwa na bunduki 20,000 alifaulu kuzuia misafara mingi hadi bei ya meno za ndovu zilipanda mno. Nguvu yake ilikuwa bunduki - pesa ya kuanza kujipatia bunduki alipata kutoka biashara yake.

Angalia anachoandika profesa wa historia wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam:
People of different nationalities – Africans, Arabs, Iranians, Indians and Europeans – were all involved in the trade in slaves from the interior of eastern Africa, as well as transporting ivory, rhinoceros horns, hides, copper and precious stones to the coast. The main suppliers of slaves were:

1. the Prazeros, descendants of Portuguese fathers and African mothers, operating mostly along the Zambezi River.

2. the Yao of southern Tanzania and northern Mozambique working north-east of the Zambezi River.

3. the Makua operating east of the Yao, closer to the coast.

4. The Yeke operating further north around Lake Tanganyika under the leadership of Chief Msiri of Katanga and the Nyamwezi Chief Mirambo, who established a short-lived trading and raiding kingdom at Urambo during 1860-70's. Slaves were brought by them from as far west as southern Angola.
(C
hanzo : Lodhi A., Slavery and slave trade in Eastern Africa)
 
Wengi, kwa asilimia ngapi ya wananchi wote? Labda 1% walionusurika chujio. Nimekaa Uarabuni kwa miaka mitatu. Kwa hiyo ninafahamu ninachokisema. Marekani watu weusi wanafikia 10% ya Wamarekani wote.
Yale niliyoona mimi UAE na Saudia ni asilimia kubwa zaidi. Si ajabu, maana hata kama walihasa sehemu ya watumwa wanaume, walizaa na wanawake watumwa. Hapo utumwa wa Waarabu ulikuwa tofauti na wale Wazungu Waprotestanti wa Marekani: mara mtumwa alikuwa Mwislamu aliweza kupokelewa katika jamii, na watoto wa mama mtumwa walitambuliwa kama watoto. Jamii yao haikuwa na ubaguzi mkali kama Marekani walipofuata "1-drop-rule", yaani kama mtu alionekana alikuwa na na babu Mwafrika alibaki "black" .
 
La Milambo (na siyo Mirambo) kufanya biashara ya watumwa: kuwakamata, kuwanunua na kuwauza, nalisikia kwa mara ya kwanza kwako. Milambo alikuwa mtemi (chief), kama walivyokuwa Mkwawa, Marealle, n.k. Watemi walikuwa hawafanyi kazi. Watu (subjects) wao ndio walikuwa wakiwalimia mashamba na kuwafanyia kazi zigine zote. Kuibuka kuwa mtemi ni kwa kuzaliwa tu kwenye ukoo huo, na si kwa kujiendeleza hadi upate sifa zinazostahili. Hizo ndizo kasoro alizoziona Nyerere, na mwaka 1963 akafutilia mbali utemi, pamoja na kwamba hata yeye mwenyewe alikuwa mzaliwa wa ukoo wa kitemi na angeweza kuwa mtemi siku za usoni.

Milambo hakuwa tofauti na watemi wengine. Kusema kwamba alikuwa akifanya biashara ya watumwa ni ajabu sana. Sijui kama kuwafanyisha watu wake kazi ndiko unakuita kufanya biashara ya watumwa. Ni kweli kwamba alikuwa mpiganaji hodari wa vita. Waarabu hawakuweza kamwe kuchukuwa watumwa ndani ya himaya yake. Hata misururu ya watumwa iliyokuwa ikitokea Kongo haikuruhusiwa kupita kwenye himaya yake mpaka ilipiwe hongo na Mwarabu mwenye msafara. Sijui kama hiyo pia ndiyo unaiita kufanya biashara ya watumwa. Mwarabu ndiye alidiriki kukamata babu zetu, kuwafunga minyororo, na kuwasafirisha hadi Uarabuni kupitia Bagamoyo. Sikioni kabisa kisa cha kung'ang'ania kumuenzi mtu aliyetufanyia unyama huo.
Umeandika ukweli mtupu
 
55⁸⁸ý

[QUOTE1zah="koro-boy, post: 40692437, member: 456654"]Sijui kama Mtanzania tunajivunia nini hapo. Huyo bwana alikuwa anafanya biashara ya kuwauza babu zetu.

1QÀ1h1rañmw[/QUOTE]Z w www, q and,zZ A, A new a1 e2,q ntertainment report published on q zzz, 1,,, w
 
Je kuna ushahidi gani? Nyumba jinsi inavyoonekana ama imebadilishwa sana au si kweli. Wakati ule hawakujenga kwa namna hiyo. Nikiona paa, inawezekana kwa kutumia mabati tu. Zamani ile paa zote zilikuwa za makuti. Makuti haiwezekani kwa mtelemko kama huo.

Halafu watumwa wafiche ya nini? Utumwa ulikuwa halali hadi kuja kwa Wajerumani, hakuna haja ya kumficha mfungwa.

Hata kama wenyeji wanasimulia hadithi za aina hii, huwezi kuamini kila kitu.
Utumwa ulianza kuyumba kuanzia 1822 na kuwa haramu 1873.
 
Haikuwa vile. Mkutano wa Vienna kwenye mwaka 1815 ulitoa tamko la kwanza la kimataifa kukomesha biashara ya watumwa kutoka Afrika, lakini haikulenga utumwa mwenyewe bado. Harakati ya kukomesha utuma iliendelea katika nchi mbalimbali za Ulaya, hadi Uingereza kumaliza utumwa katika koloni zake zote kwenye mwaka 1838. Hata hivyo, utumwa uliendelea Marekani hadi 1865 na katika Brazil hadi mwaka 1888.
Hata hivyo, ndani ya Afrika utumwa uliendelea hadi miaka ya kwanza ya ukoloni. Wakati Uingereza (iliyowahi kuwa mfanyabiashara mkuu wa watumwa hadi mwaka 1804 ilipobadilika siasa yake) ilijaribu kuzuia meli zilizobeba watumwa, watawala Waafrika waliowahi kuuza watumwa nje waliwatumia sasa kwa kuzalisha bidhaa za kilimo ambazo waliuza nje. Mfano mawese katika Afrika ya Magharibi, karafuu na nafaka katika Afrika ya Mashariki.
Nchini Tanganyika utumwa ulipigwa marufuku kabisa mwaka 1919.
 
Back
Top Bottom