INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

Mkuu, hivi vyumba huku mtaani vya kupanga, ambavyo sisi walalahoi tunalipa elfu30 huku meno yanatutoka, inatakiwa tupange kwa sh ngapi kwa sqm!!!?

Usikute wanatulangua hawa wezi wadhilifu wenye nyumba

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Tazama hiyo picha
JamiiForums-421272708.jpg
 
funzadume kama unataka kununua/kupanga nyumba kwa sqm nenda NHC. Ila hiyo nyumba ni halali kabisa kwa bei tajwa. Nyie mnaojifanyaga much know ndo huwa mnapigwa/mnatapeliwa vizuri/kisomi na watoto wa mjini.
Huyo mgonjwa kakataa hii dawa anataka kutumia miti shamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960] mpaka iwe chungu kabisa

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu! Mbona waya zimekatikia kwenye koromeo A.K.A kaba!!

Funza_dume ushaliwa na kuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kukumwenyewe pasaka hii keshaenda na maji
JamiiForums-1979955371.jpg

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app

Kuku alie mla Funza_dume[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Mbweni Stand alone House, 3 bedrooms, Toilets, Kitchen and Dining, Parkin space up to 5 cars, Dawasa Water supply, Garden space,sqm 460, hati miliki ipo.
Price tshs.180million.
Dalali pia unaruhusiwa kuleta mteja .
[emoji338] +255 785 335 350.
WhatsApp +255 621 142 409

View attachment 2574829View attachment 2574830View attachment 2574832View attachment 2574833View attachment 2574834View attachment 2574835View attachment 2574837View attachment 2574838View attachment 2574831
We mwenyewe pia dalali
 
Kwa taarifa yako kiwanja peke yake kwa Dar kufika 100,000/= ni maeneo prime sana. Goba yenyewe ambayo imepaishwa sana sqm 1 inauzwa 40,000/=

Hilo eneo Mbweni tuchukulie unanunua kwa laki kwa sqm ina maana ni 40m. Sasa hapo kuja nyumba ya milioni 140 kwa macho yako ya nyama?

Mnajidanganya sana kwenye ujenzi vijana wa siku hizi.

Nakupa mfano mwingine mdogo kwenye nyumba yangu ya Mikocheni nilijenga mnara wa tenki la maji la lita 5000 pamoja na kuunga mfumo wa maji na tenki. Hiyo stendi chini ina chumba cha 3 by 3m na nilitumia 7.5m tu

Yule mzungu makorokoro yote ya field ameweka kwenye hicho chumba ambacho kimekuwa storage mpk pikipiki mbili.

Ujenzi sio gharama kama tunavyodanganyana na watu wanaibiwa sana tofauti na uhalisia.

Anyway sibishani na vijana ila nataka muelewe uhalisia na sio kubwabwaja tu
Unapozungumzia ujenzi sio gharama za kiwanja na material tuu, wewe ni mzoefu sawa je kwa mtu asie mzoefu na maswala ya ujenzi anajua usumbufu wa mafundi ulivyo kila hatua wanaiba bila aibu, utakaye muweka kusimamia naye anaweza kuwa changamoto vile vile, mtu unafanya wiring usiku wanakuja watu wanabeba waya zote. Mwingine alijenga nyumba kumbe engineer wake alimshauri wajaze mawe kwenye msingi kabla hawajapandisha nyumba, baadae nyumba kuisha ilianza kukatika ikabidi avunje nyumba aanze kujenga upya.
 
Wajuaji wa jamii forums hawajui kitu! Wengi ni malimbukeni wa maisha na ujinga mwingine mwiiiingi! Tujifunze kupuuza tu, hamna namna

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha sana,mwingine anavutia kwake kwamba anaweza kujenga mbweni sijui mikocheni na hela ikabaki ili ummpe tenda ya kusimamia ujenzi akubamize 😂, tena anaweka na kamsisitizo kwamba ye hana shida na pesa ana kazi kubwa sana serikalini 🙌🏿
 
Inasikitisha sana,mwingine anavutia kwake kwamba anaweza kujenga mbweni sijui mikocheni na hela ikabaki ili ummpe tenda ya kusimamia ujenzi akubamize [emoji23], tena anaweka na kamsisitizo kwamba ye hana shida na pesa ana kazi kubwa sana serikalini [emoji1544]
Humu ukishakaa kwenye target ya mtu, ujue umeenda na maji! Yule jamaa ana ulakini kidogo
JamiiForums-154316549.jpg

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha sana,mwingine anavutia kwake kwamba anaweza kujenga mbweni sijui mikocheni na hela ikabaki ili ummpe tenda ya kusimamia ujenzi akubamize [emoji23], tena anaweka na kamsisitizo kwamba ye hana shida na pesa ana kazi kubwa sana serikalini [emoji1544]
Mimi sio fundi ujenzi ndugu yangu na wala . Nilichokifanya nikuwafungua akili watu. Mnaibiwa sana na madalali humu.

Kama hauelewi nachokisema ninawasaidia wanaoelewa
 
Mimi sio fundi ujenzi ndugu yangu na wala . Nilichokifanya nikuwafungua akili watu. Mnaibiwa sana na madalali humu.

Kama hauelewi nachokisema ninawasaidia wanaoelewa
Sio kuibiwa na madalali humu , fact ni kwamba ndo hali halisi ya soko la real estate hapa Tanzania hasa Dar es salaam. Kuna sehemu huko juu umesema ulijenga dodoma kwa 18 million tu kisha ukapangisha kwa laki mbili kwa mwezi kwanini kama ulipata unafuu kwenye ujenzi usipangishe kwa bei ya chini zaidi kuliko bei iliyozoeleka sokoni.
 
Kwa haraka hilo ghorofa upandeni la mtu anayeweza kukuchungulia unaweza kudhani ni part ya hii nyumba...

Ndio maana kuna sehemu plan za nyumba zinapangwa mtaa mzima kwamba ziwe vipi; unaweza mtu umejenga nyumba yako unapigwa upape majirani wanakuja na kukuziba na kuzuia ile breeze...., Nadhani na huku tutafika Master Plan ya sehemu inasema kabisa majengo ya kujenga kama ni magorofa au vipi hususan sehemu zenye nyumba nyingi per area
 
Kwa sqm[emoji2960][emoji2960]

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Mbweni Stand alone House, 3 bedrooms, Toilets, Kitchen and Dining, Parkin space up to 5 cars, Dawasa Water supply, Garden space,sqm 460, hati miliki ipo.
Price tshs.180million.
Dalali pia unaruhusiwa kuleta mteja .
📞 +255 785 335 350.
WhatsApp +255 621 142 409

View attachment 2574829View attachment 2574830View attachment 2574832View attachment 2574833View attachment 2574834View attachment 2574835View attachment 2574837View attachment 2574838View attachment 2574831
Nyumba ni nzuri. Location pia nzuri, japo inaonekana kuwa majirani wamepandisha ghorofa na wana-advantage ya kuangalia uwani. Hili unaweza kupunguza kwa kupanda miti. Kuna wachangiaji wanasema hizo fedha unaweza kununua kiwanja na kujenga nyumba kubwa kuliko hiyo na chenji ikabaki. Inaweza kuwa kweli, lakini kuna tofauti kati ya kununua nyumba ambayo kila kitu kiko tayari, wewe ni kuhamia tu vs kutafuta kiwanja, kununua na kujenga. Kwa watu wasio na uzoefu wa ''kuruka vihunzi vya jiji kama Dar, kununua kiwanja na kujenga inaweza kuwa challenge. My vedict: Kwa mwenye fedha hii ni nyumba ya kununua!
 
Kwa haraka hilo ghorofa upandeni la mtu anayeweza kukuchungulia unaweza kudhani ni part ya hii nyumba...

Ndio maana kuna sehemu plan za nyumba zinapangwa mtaa mzima kwamba ziwe vipi; unaweza mtu umejenga nyumba yako unapigwa upape majirani wanakuja na kukuziba na kuzuia ile breeze...., Nadhani na huku tutafika Master Plan ya sehemu inasema kabisa majengo ya kujenga kama ni magorofa au vipi hususan sehemu zenye nyumba nyingi per area
Uko sahihi. Hata mimi nilipoangalia hizo picha wazo la kwanza kunijia lilikuwa hilo hilo.
 
Unaweza kuja kupaona kabisa mvua ikiwa inanyesha,Karibu.
Tena wakati huu wa masika ndiyo mzuri sana wa kununua kiwanja au nyumba au kupanga nyumba. Kuna jamaa yangu alipanga sehemu, nyumba nzuri sana, bei siyo kubwa. Mwezi wa nne ulipofika ndiyo aligundua ni kwa nini bei ilikuwa chini kwa sababu nyumba ilijaa maji.
 
Back
Top Bottom