Mary_Kishi
New Member
- May 20, 2013
- 2
- 3
Habari wakuu,
Habari wakuu, naomba msada kujua hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani mpaka ikamilike. Natanguliza shukrani.
View attachment 3657961View attachment 3657962
Kidogo.108m bila Fence
Hiyo kupaua peke yake inafika 10M - 12M kutegemea na aina ya bati na mtindo wa mapaa.Kama ni hivi.
Kwa nyumba ya namna hiyo.
Msingi, Kupandisha Kozi, na kupaua andaa 25 Mill.
Nina mjengo sehemu 13.4M x 13M nyumba kubwa sana. Idadi ya vyumba kama yake au zaidi. Huyu itakuwa kubwa zaidi.M17 kwa 17M, hiyo nyumba ni kubwa sana bosi.
Mtu mwenye uwezo wa kujenga nyumba ya ukubwa huo, si wakuja huku jukwaani kuuliza bei kwani ni mtu mwenye hela ndefu. Nakushauri uwasiliane na fundi akupe mwongozo kwani kuna uwezekano vipimo vinakuchanganya