Na kujibu kwa Bei.
iko pana pana sana.
Gharama zimepanda.
Unataka hadi mtu akupigie bei za Tiles ?.
Au Msingi, kupandisha na kupaua na Finishing ufanye mwenyewe.
Kama ni hivi.
Kwa nyumba ya namna hiyo.
Msingi, Kupandisha Kozi, na kupaua andaa 25 Mill.
Kufanya wiring, bomba za maji, plasta, rangi . Andaa 15 Mill
Kufanya Tiles na madirisha andaa 10 Mill.
Ufund kwa vyote hivyo andaa 15 mill.
Kwahiyo.
Kwa hesabu ndogo kabisa.
Nyumba ya namna hiyo. Bila mbwembwe . 70-90 mill.
Hiki ni kiwango cha makadirio ya chini sana.