britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Yes the man is Smart
Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R)
Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu taratibu na kukolea Kama wine na washirika wakimkubali zaidi,
Mkwe wa mtu anamuingiza Chaka Malkia kwamba Jamaa afumiwe kesi pia chama chake cha DEMOCRATIC kipewe kesi ngumu viongozi watiwe hatian na chama kifutwe, MA CHARCOAL juzi alitoa kauli si kwa Bahati mbaya kuhusu BOELA na MPOKISI
kuna mmoja atatwangwa “AMANDA” wanaojua kiganda maana ya neno KUKUBA AMANDA mnaelewa,
Ashauriwe avae Manda proof za kutosha
Britanicca