IKEKERA
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 1,366
- 1,728
Kwani mwinyi unadhani kule ni kwao?Wazanzibar wanapotuongoza wa Tanganyika wakati kwao sisi haturuhusiwi hata kuwa balozi huu ni ujinga mkubwa sana
Kwani mwinyi unadhani kule ni kwao?Wazanzibar wanapotuongoza wa Tanganyika wakati kwao sisi haturuhusiwi hata kuwa balozi huu ni ujinga mkubwa sana
Haha tulia tuliaMwaka huu ccm watajua kuwa hawajui.Kuna surprise nyingi sana zipo mbele yao.Bora wakubali tu kufanya reforms.
"HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA."- Hii kauli imetosha kunifanya kujua kwamba Britannica wewe ni kachero mbobezi au kama sio kachero basi unafanya kazi kwenye ubalozi mmojawapo wa Tanzania huku duniani.
Sura imemshuka kama nyani jike aliyetoka kutoa mimba
Na iwe hivyoCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Fisi wewe!pigo la nyokweeeee na mtashangaaa watu wakiapishwa halafu hamjapata hata mbunge mmoja maana mmesusa kijanja
NamSiasa mchezo wa hatari sana, sema hata yeye hajakaa kizembe wale jamaa wanaomlinda wanaonekana sio watu wa mchezo mchezo, na pia naamini kuna walinzi wanaomlinda ambao hawaonekani mara kwa mara.
Kiufupi kuna mtego mwamba anao hesabu zikienda ndivyo sivyo kama wakati ule basi kuna aibu kubwa inaweza kutokea na wqtu wasijue pa kuficha sura zao.
Mbona Mwinyi na Baba yake ni Wa Mkuranga, wote wameshika nafasi za juu kabisa!Wazanzibar wanapotuongoza wa Tanganyika wakati kwao sisi haturuhusiwi hata kuwa balozi huu ni ujinga mkubwa sana
Mkuu achana na hizi ng'ombe...wanachojua wenyewe ni uchonganishi TU ila kule zenji watanganyika ni wengi sana..Mbona Mwinyi na Baba yake ni Wa Mkuranga, wote wameshika nafasi za juu kabisa!
Mapuri alikua naibu waziri kiongozi na waziri wa elimu, anatokea Tabora.
Akina Mwakanjuki wamekua mawaziri Zanzibar. Na wengine hadi leo wapo serikalini akina Suzan Kunambi na Charles Hillary.
Aisee kumbe mambo ni magumu hivi?Haha tulia tulia
Britanicca code zake makini!Aisee kumbe mambo ni magumu hivi?
Huwa hakosei kabisa aiseh!Britanicca code zake makini!
Yaani takatifu kweli kweliCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Nyumba mithili ya Treni😅Britanicca code zake makini!
Always on the money!🤷🏻♂️Huwa hakosei kabisa aiseh!
NamKufutwa kwa chama ni ngumu! Ila kukamatwa kupewa kesi ngumu inaweza kuwezekana.
Kitu ambacho sikuwahi kujua kumbe virusi vinauzwa bwana!
NikkeiAlways on the money!🤷🏻♂️
Ndo ujinga wao ,wanawaza kupata ushindi tuWewe tukana tu lakini hilo pigo haliepukiki, wewe unafikira uchaguzi sisi tunafikiria beyond uchaguzi.