SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hayana marindaYamefanyaje?
Hayana marindaYamefanyaje?
Hayo maneno mwambie mama yako mzazipigo la nyokweeeee na mtashangaaa watu wakiapishwa halafu hamjapata hata mbunge mmoja maana mmesusa kijanja
Kumbe reforms ni kupambana na serikali? Ndio maana katiba ya warioba mlianzisha mkakimbiakujiamini huku makamanda wanaitisha press wanaanza kulia? nataka nikukumbushe kitu kwa tanzania hakuna aliyeweza kupambana na serikali akashinda, lowassa alijaribu na alikuwa na kila kitu Iła aliangukia pua
Watu wadai reforms nyie mnapindisha mada kugeuza ni vita, haya mambo yalianza kudaiwa toka awamu ya nne mpaka mzee warioba mkamtia vibaokujiamini huku makamanda wanaitisha press wanaanza kulia? nataka nikukumbushe kitu kwa tanzania hakuna aliyeweza kupambana na serikali akashinda, lowassa alijaribu na alikuwa na kila kitu Iła aliangukia pua
Watanganyika kibak wapo katika uongozi Zanzibar.Wazanzibar wanapotuongoza wa Tanganyika wakati kwao sisi haturuhusiwi hata kuwa balozi huu ni ujinga mkubwa sana
Na Wana historia ya kuua wakati wa uchaguziWazanzibar wanapotuongoza wa Tanganyika wakati kwao sisi haturuhusiwi hata kuwa balozi huu ni ujinga mkubwa sana
HakikaKifua kipana anamuingiza chaka nene mzaa chema
Naona tayari mbelgiji yuko nyuma ya nondo, je wata msulubu ili waendelee kutawala?Hakika
Hakika yanNaona tayari mbelgiji yuko nyuma ya nondo, je wata msulubu ili waendelee kutawala?
Mjomba aliye mpa chuma nafasi, naye yuko bize na safari!
Mambo yanajifunua taratibu..Hakika yan
sanaWazanzibar wanapotuongoza wa Tanganyika wakati kwao sisi haturuhusiwi hata kuwa balozi huu ni ujinga mkubwa sana
Think Tank kakata Moto baada ya kuoana wameshindwa kabisa wakamshikilia Lisu ili wapumue. Moto wa Lisu ulikuwa unaenea kama moto wa mabua.
HakikaKifua kipana anamuingiza chaka nene mzaa chema
Ngoja nirudie kusoma tena hiiYes the man is Smart
Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R)
Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu taratibu na kukolea Kama wine na washirika wakimkubali zaidi,
Mkwe wa mtu anamuingiza Chaka Malkia kwamba Jamaa afumiwe kesi pia chama chake cha DEMOCRATIC kipewe kesi ngumu viongozi watiwe hatian na chama kifutwe, MA CHARCOAL juzi alitoa kauli si kwa Bahati mbaya kuhusu BOELA na MPOKISI
kuna mmoja atatwangwa “AMANDA” wanaojua kiganda maana ya neno KUKUBA AMANDA mnaelewa,
Ashauriwe avae Manda proof za kutosha
Britanicca
Kwani kakosea wapi?Je askofu watamuacha??
Magufuli hakuwa Mzanzibari na aliteka na kuua ndo muasisi wa haya mamboWazanzibar wanapotuongoza wa Tanganyika wakati kwao sisi haturuhusiwi hata kuwa balozi huu ni ujinga mkubwa sana
OnhooNitawaroga wote fanyeni mzaha tu😡