Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza

Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza

Mbona Mwinyi na Baba yake ni Wa Mkuranga, wote wameshika nafasi za juu kabisa!

Mapuri alikua naibu waziri kiongozi na waziri wa elimu, anatokea Tabora.

Akina Mwakanjuki wamekua mawaziri Zanzibar. Na wengine hadi leo wapo serikalini akina Suzan Kunambi na Charles Hillary.
Ebu nielimishe, Charles Hillary na Bi Susan Kunabi wamezaliwa wapi?
 
Ccm kwasasa hawana lakumfanya Lissu..Kule kujiamini kwa Lissu sio bure...Ccm ikubali tu kufa kwa heshima kwakukubali reform before election.
kujiamini huku makamanda wanaitisha press wanaanza kulia? nataka nikukumbushe kitu kwa tanzania hakuna aliyeweza kupambana na serikali akashinda, lowassa alijaribu na alikuwa na kila kitu Iła aliangukia pua
 
kujiamini huku makamanda wanaitisha press wanaanza kulia? nataka nikukumbushe kitu kwa tanzania hakuna aliyeweza kupambana na serikali akashinda, lowassa alijaribu na alikuwa na kila kitu Iła aliangukia pua
Suala sio mapambano ewe maamuma tunataka REFORMS
 
Sana tu njoo huku kizimkazi watu Wana maekari..
1.Wewe ni Mtanganyika (Mtanzania Bara) unaishi Zanzibar???

Huko Kizimkazi unamiliki shamba la kwako au wazanzibari wamekupa uwalindie na kuwatuzia huku wewe ukifanya ukulima wa mchicha na matikiti
 

Attachments

  • FB_IMG_1746362457185.jpg
    FB_IMG_1746362457185.jpg
    83.7 KB · Views: 19
Yes the man is Smart
Chama WALATA (CCM)kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji(Lissu) katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R)
Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu taratibu na kukolea Kama wine na washirika wakimkubali zaidi,
Mkwe wa mtu (Mchengerwa)anamuingiza Chaka Malkia (Mama Samia)kwamba Jamaa afumiwe kesi pia chama chake cha DEMOCRATIC kipewe kesi ngumu viongozi watiwe hatian na chama kifutwe, MA CHARCOAL (MAKALA)juzi alitoa kauli si kwa Bahati mbaya kuhusu BOELA (EBOLA)na MPOKISI(M-pox)

kuna mmoja atatwangwa “AMANDA” wanaojua kiganda maana ya neno KUKUBA AMANDA mnaelewa,

Ashauriwe avae Manda proof za kutosha

Britanicca
Tuliorudia darasa la saba mara tatu sasa ndio tunaelewa
 
Back
Top Bottom