Kwanza hizi picha sio ngeni... zilianza kusambazwa kwa mara ya kwanza zaidi mwaka mmoja uliopita! Hata humu JF zililetwa hizi picha kiasi cha mwezi mmoja uliopita!Teh Teh kuna watu wana amini kabisa hizo picha ni za kweli na hata ukienda kwenye page ya Alikiba hakuna kitu kama hicho.Wana msingizia.
Mbona picha namba 2 sio PURE GOLD PLATED TOILET
Badae mtaanza linganisha hadi penis zao
Hiyo ya jakuzi na gypsum sijawahi kuziona ila ukuta huo wa kibaraza na uwanja nimewahi kuziona na nyingine pia.
Subiri nipate muda.
Kwanza hizi picha sio ngeni... zilianza kusambazwa kwa mara ya kwanza zaidi mwaka mmoja uliopita! Hata humu JF zililetwa hizi picha kiasi cha mwezi mmoja uliopita!
Usiniambie na wewe walikukamata kwenye huu uzushi!!! Hivi hata unapoangalia hiyo fence huoni walakini wake? Anyway, wengi mnatumia simu lakini kama ingekuwa unatumia kifaa chenye screen kubwa, ungeshitukia... kwa kifupi, hilo ni jengo la kale... chunguza hata muundo wa hiyo fence. Nyumba ya Kiba ilishawahi kupostiwa humu jamvini na kwenye blogs mbalimbali lakini sio hiyo !Kwa hiyo ilikua ni uongo kua nyumba sio yake
Hiyo nyumba ya kiba nimeanza kuisikia kitambo..sio kweli kwamba anamuiga dai..by the way kuiga kitu kizuri si dhambi wala kosa
chige your too clever to argue with this people comments zako huwa zinaempty brain yangu naamanisha zina ujazo wa kutosha lakini hawa watu hunishangaza sana ni kwa jinsi gani walivyona na vichwa vigumu kuelewa,warumi, hunifahamu vizuri... kama unadhani mimi ni mtu wa ku-swallow kila kitu, then you're very wrong! Issue hapa sio ku-doubt coz' kila kitu kipo wazi! Halafu kwa taarifa yako, tofauti na nyie wengine ambao moja kwa moja mnaonesha chuki kwa Diamond mie sina chuki dhidi ya Kiba na hapa nimeshasema mara kibao hata nyimbo zake nasikiliza lakini kama ambavyo Tanzania kuna timu za soka 14, mtu unachagua moja... sawa na ambavyo duniani kuna timu kibao za soka, watu tunaamua kuchagua Arsenal! Lakini kwa hizo picha, unless kama unatumia Mchina lakini zinaonekana wazi kwamba ni jengl la kale... angalia picha ya chini kisha cheki ukuta wake!!! Ni watu tu wame-post na kusema ame-post Ali Kiba na ndio maana nimekuuliza hapo awali, Kiba ame-post kwenye social media ipi hizo picha?
Mngekuwa kweli mnampenda Kiba, basi mngemwepusha na hizo picha coz' kesho na kesho kutwa ni hao hao ndio watakaosema Kiba ana-post picha za uongo na kusingizia kwamba ni mjengo wake wakati aliye-post hizo picha sio Kiba!