warumi, hunifahamu vizuri... kama unadhani mimi ni mtu wa ku-swallow kila kitu, then you're very wrong! Issue hapa sio ku-doubt coz' kila kitu kipo wazi! Halafu kwa taarifa yako, tofauti na nyie wengine ambao moja kwa moja mnaonesha chuki kwa Diamond mie sina chuki dhidi ya Kiba na hapa nimeshasema mara kibao hata nyimbo zake nasikiliza lakini kama ambavyo Tanzania kuna timu za soka 14, mtu unachagua moja... sawa na ambavyo duniani kuna timu kibao za soka, watu tunaamua kuchagua Arsenal! Lakini kwa hizo picha, unless kama unatumia Mchina lakini zinaonekana wazi kwamba ni jengl la kale... angalia picha ya chini kisha cheki ukuta wake!!! Ni watu tu wame-post na kusema ame-post Ali Kiba na ndio maana nimekuuliza hapo awali, Kiba ame-post kwenye social media ipi hizo picha?
Mngekuwa kweli mnampenda Kiba, basi mngemwepusha na hizo picha coz' kesho na kesho kutwa ni hao hao ndio watakaosema Kiba ana-post picha za uongo na kusingizia kwamba ni mjengo wake wakati aliye-post hizo picha sio Kiba!