Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Teh Teh kuna watu wana amini kabisa hizo picha ni za kweli na hata ukienda kwenye page ya Alikiba hakuna kitu kama hicho.Wana msingizia.
Kwanza hizi picha sio ngeni... zilianza kusambazwa kwa mara ya kwanza zaidi mwaka mmoja uliopita! Hata humu JF zililetwa hizi picha kiasi cha mwezi mmoja uliopita!
 
Siku mkianzisha Uzi wa nani ana mama mwenye sura nzuri,
Mnnimention
 
Hiyo ya jakuzi na gypsum sijawahi kuziona ila ukuta huo wa kibaraza na uwanja nimewahi kuziona na nyingine pia.
Subiri nipate muda.

Hii tushawahinkuijadili humu mi niliona picha zote
 
Kwanza hizi picha sio ngeni... zilianza kusambazwa kwa mara ya kwanza zaidi mwaka mmoja uliopita! Hata humu JF zililetwa hizi picha kiasi cha mwezi mmoja uliopita!

Kwa hiyo ilikua ni uongo kua nyumba sio yake
 
Kwa hiyo ilikua ni uongo kua nyumba sio yake
Usiniambie na wewe walikukamata kwenye huu uzushi!!! Hivi hata unapoangalia hiyo fence huoni walakini wake? Anyway, wengi mnatumia simu lakini kama ingekuwa unatumia kifaa chenye screen kubwa, ungeshitukia... kwa kifupi, hilo ni jengo la kale... chunguza hata muundo wa hiyo fence. Nyumba ya Kiba ilishawahi kupostiwa humu jamvini na kwenye blogs mbalimbali lakini sio hiyo !
 
hizo picha ni za kweli kama mwaka mmoja zilikuwepo kwenye page ya ali k ila baada ya mashabiki kuanza kumpambanisha na diamond alizifuta kukwepa bifu na mtanganjia mwenzake
 
watu kweli washamba xaxa dhahabu asivae mwilini aweke chooni.alikiba ana akili choo hatembei nacho!
 
Hamu wacheni ujinga kusifia vitu vya wengine Sifia kilicho chako pumbavu
 
fundi kamuharibia hapo kwenye choo why mbanano na jacuz?? mguu pande hapo haufanyiki vzr
 
Hiyo nyumba ya kiba nimeanza kuisikia kitambo..sio kweli kwamba anamuiga dai..by the way kuiga kitu kizuri si dhambi wala kosa

ujue hats kiba alianzaga kushoot shooting za sauzi hata wakat dogo hajawika mfano ni shooting ya Mac buga ilikua na poor quality ila dogo kawika kafanya shooting hukohuko sauz zilizomhamasisha kiba ajifunze toka kwa dogo kutoa video kwa godfather ambae kamtengenezea kiba video ya kucheza wakati ujumbe ni tofauti.

yap na sasa dogo ashamaliza mjengo kiba ndo naye kahamasishwa na dogo

what next.........
 
warumi, hunifahamu vizuri... kama unadhani mimi ni mtu wa ku-swallow kila kitu, then you're very wrong! Issue hapa sio ku-doubt coz' kila kitu kipo wazi! Halafu kwa taarifa yako, tofauti na nyie wengine ambao moja kwa moja mnaonesha chuki kwa Diamond mie sina chuki dhidi ya Kiba na hapa nimeshasema mara kibao hata nyimbo zake nasikiliza lakini kama ambavyo Tanzania kuna timu za soka 14, mtu unachagua moja... sawa na ambavyo duniani kuna timu kibao za soka, watu tunaamua kuchagua Arsenal! Lakini kwa hizo picha, unless kama unatumia Mchina lakini zinaonekana wazi kwamba ni jengl la kale... angalia picha ya chini kisha cheki ukuta wake!!! Ni watu tu wame-post na kusema ame-post Ali Kiba na ndio maana nimekuuliza hapo awali, Kiba ame-post kwenye social media ipi hizo picha?

Mngekuwa kweli mnampenda Kiba, basi mngemwepusha na hizo picha coz' kesho na kesho kutwa ni hao hao ndio watakaosema Kiba ana-post picha za uongo na kusingizia kwamba ni mjengo wake wakati aliye-post hizo picha sio Kiba!
chige your too clever to argue with this people comments zako huwa zinaempty brain yangu naamanisha zina ujazo wa kutosha lakini hawa watu hunishangaza sana ni kwa jinsi gani walivyona na vichwa vigumu kuelewa,
kitu kinaonekana kabisa ni fake, nilitegemea kabisa hawa wanaojiita wenye mapenzi ya dhati na kiba wakemee, kumbe na wenyewe hawajielewi, maskinii, unawaona wanavyochekelea??

Mimi hapa nimegundua kitu kimoja chige, endapo ikitolewa habari yoyote njema kuhusu kiba huwa inawapa faraja kubwa sanaaa, regardless kuwa hiyo habari ni ya kweli au uongo, utawaona wanavyoshangilia wenyeweee, hata akili ya kupima ukweli wa habari yenyewe wanakuwa hawana tena, kumbuka habari ya BBC fake walivyoichezea ngoma mtaa wao ukawa nifull chereko, now this get me to prove something is wrong with this people so called team kiba, amekosekana hata mmoja aliyesoma mwenye uwezo wa kusoma picha akagungua kuna picha hapo ni type za majengo ya kaleeee??? hizo nyumba zimechukuliwa sehemu tofauti tofauti, na kama kuna nyumba ya kiba hapo labda hizo mbili za mwanzo, lakini kwa hiyo ya tatu, common guys mtakeni kiba radhi plzzz!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera yake huo ndo ushindani unaotakiwa siyo ule wa kuharibiana. Wasanii wanatakiwa washirikiane kukemea maovu katika jamii na kueneza upendo siyo kuwa chanzo cha mafarakano
 
Back
Top Bottom