Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Hizi ni picha za kwenye mitandao wala hazina uhusiano na Alikiba kabisa...! Muulize mtoa mada ni wapi na lini Alikiba ameziachia picha za aina hiyo?

kama hazina uhusiano na kiba mbona kuna team kiba hapa wa damu na wamezipigia mstari kuwa ni za kweli???
 

pengine tufanye ni yake, nyumba imekaa mpaka ikafanana ya nyumba za karne ya 19 hiyo nyumba itakuwa imeanza kujengwa mwaka gani?? am curious to know kwa kweli, ili tujue ni nyumba ya nani inakaribia kuadhimisha jubilee
 
kiba sio mtu wa kuonesha wanawake zake, kujua idadi yao wee hesabu watoto tu

Umefungiwa wapiii!
Ebu mwache kiba wetu.Kaangalie maana ya show off, sio kwamba huoneshi ulichonacho kabisa bali unaonesha kwa jinsi ya kuwainspire watu sio kujitapatapa kuwa umepata! Kila demu mpya mtandaoni, unakula, mtandaoni, demu wako anakuchungulia dudu kwenye boat pichaaa! Unalala pichaaa! Umenunua boxer pichaaa! Haa kweli diamond pamoja na mafanikio yake yote ushamba upo damuni.
 

Mhuuu habari fekero ya bbc karudi uperuzi uone kama kuna mtu aliiongelea mtaani huko unaposema.Nnapopishana na wewe ni pale tu unapoanzaga kuongea kwa hisia kali na kuwajumuisha mashabiki wote wa kiba! Eti wana 'matatizo'!
Ok tuna matatizo umefurahiii??
 
Last edited by a moderator:

hayo ndio maisha yake aliyochagua, sidhani kama kuna mwenye mamlaka ya kumpangia mtu mwingine namna ya kuishi, majority of celebrities wanaishi maisha ya kujishetua sio hapa tu hata mbele huko, so kwa upande wangu hainipi tabu, kilichonifanya nichague kumsupport chibu its his hard working and thats all, uwezo wake kwenye mziki might NOT BE BORN WITH i can say, not through some special training on musician stuffs lakini anafanya vitu vinavyooneka pushing forward mziki wa bongo flava abroad hata kama not that much but at least he tried in his level best UNLIKE others musicians u do claiming kuwa wanavipaji ndio wanaojua mziki and all that including kiba they had never brought us were chibu did. THIS IS MY CLEAR REASONS WHY NAMKUBALI DIAMOND REGARDLESS MAKUPUNGUFU YAKE yote kwani yeye ni binadamu kama sisi na hata sisi tunamapungufu mengi the same applied.

Come to why huwa naongea kwa hisia, hili nitakujibu kiteam na kishabiki and NEVER personal, have u ever go through some of team kiba's comments against diamond in any post ukaona ni kwa kiasi gani zimejaa HISIA ZA CHUKI, HUSDA KEJELI DHARAU JUZBA and all that??? hizo huwa hazikugusi?? zinakugusa tuu zile comments zenye hisia kali against kiba etii??? common guys!!! kuna team kiba hapa hujinadi kuwa wamestaarabika sana wakiona watu wanaongea vitu visivyokuwa na mashiko ni bora wasikoment kuliko wakoment utumbo, ni kweli hawata comment lakini wale waliocomment utumbo agaist diamond utaona wanavyowapitishia LIKES, aaashhhh!!!!??? ukiongelea ROHO ZA CHUKI unaongelea team kiba, sisi tunacopy tu na kupaste.
 
Kwa hyo hawa mbwa wanataka nyumba nzur ajenge ndomo tu? Na kwa taarifa nyumba yenyewe kasaidiwa kujenga sijui na mashabiki cjui mabwana zake anajua yeye, watuachie king wetu wa miaka miaa
Ms.Lincoln embu njoo tu hapa manake mimi hata sijui niseme nini tena, nimesema team kiba mnamatatizo ukanipandishia povu, huyu aliyetuita mbwa hapa LIKES kwa sana, teeena wale wote vinara wa kujiita wastaarabu kutwa kuchwa kuninyooshea vidole mtoto wa mwenzenu wewe paula wewe unaroho mbaya sana, zenu ndio nzurii kwa kusupport matusi kama hayaaaaa????? hahahahahahaaaaaaaa embu mnipisheeeee mie!!! kujitambua na kwenyewe ni shdraaaaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo unashauri abomoe kama hiyo ni nyumba ya house boy yake bado swimming pool ndio anakazania?
 
We mb w a nahiyo nayo ni nyumba?hamnazo wewe kabisa tukieeka zakwetu si hapatatosha hum?jadilini mambo mapy a na sio maisha ya watu k wewe

Acha Matusi weka basi tuone Kelele kwanza una Kiwanja kweli usikute umerenovate kama WEMA.
 
Toka enzi za akina dully kushindana na vi starlet mpaka hapa walipo hawa vijana
 
Acha Matusi weka basi tuone Kelele kwanza una Kiwanja kweli usikute umerenovate kama WEMA.

Maishayako magumu unawza ya kiba namafanikioyake si u mbwiga huo?leo penyewe hujui utakula nini mbw a aa wewe unawaza dimond ananini,kimaa kivyako jombiii maisha yawatu waavhie wwnyewe.
 
We ulituma thread lini nasi tutajadili mafanikio yako, Amka mtanzania..
 
Maishayako magumu unawza ya kiba namafanikioyake si u mbwiga huo?leo penyewe hujui utakula nini mbw a aa wewe unawaza dimond ananini,kimaa kivyako jombiii maisha yawatu waavhie wwnyewe.

Duuh hebu rudia tena umestuck stuck sana sijakupata vzr.
Maneno mengine ikabidi ni GUGO kwanza kama hili WAAVHIE WWNYEWE au umetumia simu TECNO
 
Duuh hebu rudia tena umestuck stuck sana sijakupata vzr.
Maneno mengine ikabidi ni GUGO kwanza kama hili WAAVHIE WWNYEWE au umetumia simu TECNO

Weweeee acha ushamba kufuatilia maisha ya watu pimbi wewe mwenyewe hapo umepanga unashabikia minjengo yawenzio?ok inakusaidia nini sasa uo ushabikiwako jombii?
 
Duuh hebu rudia tena umestuck stuck sana sijakupata vzr.
Maneno mengine ikabidi ni GUGO kwanza kama hili WAAVHIE WWNYEWE au umetumia simu TECNO

hahahahaaaa kweli amestack stack nimependa hapo tu.
 

Mama ukiendeleza huo mtazamo wa hisia kali sijui chuki, husda sijui dharau kwa mambo ya ushabiki ambayo hata huyo msanii hakujui utakonda kabisa.
Huwa unachukuli mambo ya ushabiki too personal.Nakusihi ubadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…