Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Wengi mmeongea lakini ni vizuri kujua chanzo kilichomfanya mzee mpaka akaamua kuwa na nyumba ndogo,tusitake kutoa ushauri na kejeli ilhali hatujajua jinsi ya kutumia T3

tiGO ndo ilisababisha!!
 
wa hivyo alaaniwe kweli.
mi kuna mmoja alitaka nimfukuze wife. akawa anampigia wife na kumwabia eti ampishe - kuona hivyo nikakata kamba moja kwa moja.
Tutor B unakata kamba inayokatika tu.
 
Last edited by a moderator:

Siyo hivyo mkuu. Yeye sasa hivi issue siyo wao kumsumbua kwa simu ama mawasiliano ya aina yoyote, bali anajuta maana sasa hivi wamemkimbia baada ya kuwa wamemuharibia including kumfilisi........!!!
 

Very good mkuu!!!!!!!
 
Mambo ya tiGO hayo......Maana kama alikuwa haipati kwa mkewe alipoenda mpango wa kando akagawiwa......Ndo hayo yaliyomkuta. kuja kutahamaki amefilisika!!!
Duuh! kweli shubiri huwa tamu na asali kuwa chungu...
 
Pole, But it was your Choice, and you attended them Willingly
 
Wa kwanza kulaaniwa ni wewe mwenyewe uliyeshindwa kutulia kwenye ndoa yako.
 
Natengua kauli mzee, niwie radhi. Nzi kufia juu ya kidonda sio ufala ndio kupenda.

Sasa ulishapromote nyumba ndogo ikawa kubwa ili utafute nyumba ndogo zaidi? Nyumba ndogo ina utamu wake baba
king'ast Nimelaaniwa tena?
 
mie ckatai nyumba ndogo kweli na hakikisha watoto wanakula kabla mie na baba yao hatujasosomola manyama.
Tatizo lako nyumba ndogo yako inaendesha mambo kiswazi.
Ukimpata msomi wa kidijital kama mie usingekuja kulalamika home
[emoji16][emoji16]asante sana,,, kakutana na waswahili uko anakuja kutulalamikia uku. ..
 
Natengua kauli mzee, niwie radhi. Nzi kufia juu ya kidonda sio ufala ndio kupenda.

Sasa ulishapromote nyumba ndogo ikawa kubwa ili utafute nyumba ndogo zaidi? Nyumba ndogo ina utamu wake baba
Jamani msalimie Paw
 
Tamaa zako ndio zilikuponza hakuna anae laaniwa hapo
 
Uniwie radhi mkuu siku zote mtu mwenye hekima hawezi laumu mtu mwingine kwa yanayomkuta kutokana na maamuzi yake mwenyewe ya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…