Uniwie radhi mkuu siku zote mtu mwenye hekima hawezi laumu mtu mwingine kwa yanayomkuta kutokana na maamuzi yake mwenyewe ya kipuuzi
katika ulimwengu wa roho wanawake wamepewa nguvu sana, ulishafanya yaache yapite kabisa omba msamaha kwa mke wako then hao nyumba ndogo usipokee simu zao wala kujibu sms zao stick to your wife kaka.... utamu wa mapenzi ni hisia zako mwenyewe hayo mengine ni shetani tu anaamwua kukuendesha na kuona eti mke wako hakufai usilikubali hilo tamka kwa kinywa chako mke wangu ananifaa kuliko mwanamke yeyote

Hahaaaa. Nimecheka kwa sauti lol.
Mlaaniwage wote tu kwa kweli. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaa. Na kweli Mkuu.Cheka unenepe
Hahaaaa. Na kweli Mkuu.
Ulaaniwe wewe usotulia na mkeo kukimbizana na vimada..
Pole mkuu hapo ushanyweshwa ile chai iliochujiwa Kyupi....kapunguza dozi naona akili kama zimerudi...pole sana ila hizo ndio faida za kidumu baki njia kuu hamna namna
Pole sana mkuu next time tulia tu home na mkeo
Safiii waambie hao..roho mbaya haijengi hata km wewe ni nyumba gani unapata faida gani watoto wa huyo mkubwa wakiteseka? Sio kila nyumba ndogo ni washenzi huyu mtoa uzi ni mshamba na kaenda kwa wapuuzi wenzie wamemnyoosha..kaa na familia yako km ukiona akili yako ni ndogo huwezi kuji control.mie ckatai nyumba ndogo kweli na hakikisha watoto wanakula kabla mie na baba yao hatujasosomola manyama.
Tatizo lako nyumba ndogo yako inaendesha mambo kiswazi.
Ukimpata msomi wa kidijital kama mie usingekuja kulalamika home