CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Marhabaaa....Hakika kesho kabla jimbi hajawika, utamwona mwana wa Adamu akitokea Kapernaumu.....
Ndo kusema umemiss samaki au???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhabaaa....Hakika kesho kabla jimbi hajawika, utamwona mwana wa Adamu akitokea Kapernaumu.....
Ndo kusema umemiss samaki au???
hadi jina unalikumbuka.
Mi nalijua lile la usingizi.ile thread alikosekana kiranga tu nilitamanije aisome aicoment
Naja mbele yenu. Majuto ni mjukuu. Nyumba ndogo, hawara ama mpango wa Kando. Naja kuwalaani:
1. Mmenifanya nimdharau mke wangu. Mke wangu ameishi kwa masikitiko na manyanyaso yote ni sababu yenu.
2. Familia yangu nimeitekeleza. Kila nikitakiwa kutoa pesa najiona kama naonewa, si jukumu langu tena. Imekuwa kama natoa msaada. Mmenifanya nini nyie viumbe mliolaaniwa.
3. Mmeichukua Furaha ya Familia yangu. Sina muda wa kukaa na familia yangu. Mmenifunga na kufungik. Nyie viumbe mso na Huruma.
4. Mmenimiliki kama Asset yenu. Akili yangu mmeishika ikashikika. Nimeshindwa kuwekeza chochote, pesa zote mmezifyonza kama Viwavijeshi wanavyokula Shambani. Kuweni na huruma. Ihurumieni familis yangu. Mungu yupo awalaani.
Hivi kweli mnamjua mungu kweli. Mmeshindwa kuionea hurum familia yangu, mmeshindwa kuwaonea huruma watoto wangu wanavyopata tabu. Kila mkiniona na senti mnajifany mna hamu, kumbe ni ili mniikwapue.
Penzi lenyewe la kupimiwa kama umeme wa Luku. Haupatu hadi ujaze fomu ya maombi.
Mungu awalaani hadi mshangae!!
Hapana....ni zaidi ya hiyo....
yaani wewe mwenyewe huwaonei hrurma mke na mwanao and you expect nyumba ndogo to do so? unachekesha kweli. kwani huna utashi wa kujua kwamb familia yak inateseka kwa kuendekeza n/ndogo. unachefua kweli :/Naja mbele yenu. Majuto ni mjukuu. Nyumba ndogo, hawara ama mpango wa Kando. Naja kuwalaani:
1. Mmenifanya nimdharau mke wangu. Mke wangu ameishi kwa masikitiko na manyanyaso yote ni sababu yenu.
2. Familia yangu nimeitekeleza. Kila nikitakiwa kutoa pesa najiona kama naonewa, si jukumu langu tena. Imekuwa kama natoa msaada. Mmenifanya nini nyie viumbe mliolaaniwa.
3. Mmeichukua Furaha ya Familia yangu. Sina muda wa kukaa na familia yangu. Mmenifunga na kufungik. Nyie viumbe mso na Huruma.
4. Mmenimiliki kama Asset yenu. Akili yangu mmeishika ikashikika. Nimeshindwa kuwekeza chochote, pesa zote mmezifyonza kama Viwavijeshi wanavyokula Shambani. Kuweni na huruma. Ihurumieni familis yangu. Mungu yupo awalaani.
Hivi kweli mnamjua mungu kweli. Mmeshindwa kuionea hurum familia yangu, mmeshindwa kuwaonea huruma watoto wangu wanavyopata tabu. Kila mkiniona na senti mnajifany mna hamu, kumbe ni ili mniikwapue.
Penzi lenyewe la kupimiwa kama umeme wa Luku. Haupatu hadi ujaze fomu ya maombi.
Mungu awalaani hadi mshangae!!
We acha tu wamempa maneno hapa kama wa kuacha ataacha yaani hakuna aliempa ushirikiano lol. Wazee wa hivi ni majanga kwa familia halafu ndio wa kwanza kullaani watoto wao wanapowanyima misaada inapofika zamu yao.
na bado mkikosa mnaanza kuwaambia wakezenu,Mke wangu siku hizi sipati hela.honey zinakua kibao,wakati mnazo badala ya kusave na kuwekeza nyie mnahonga,utajamba cheche