Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

chukua chumvi mawe umwage kwenye kila kona ya nyumba,,,sio uchawi ata kwenye biblia ipo,,na ndo manake ukiwa na nuksi unaambiwa ukaoge baharini{chumvi hiendani na wachwawi wala mapepo}
 
Imeisha Isha damu ya Yesu na chumvi ya mawe, unaweza pia utasaga mkaa na ukapuliza pande 4 za Dunia ukiwa ndani au nje sehemu moja tu puliza mbele Kisha kulia Kisha nyuma Kisha kushoto imeisha tamka maneno Yako, waambie mchawi yeyote hapa hairusiwi pisheni mbali imeisha hio.
 
Wanga huo...
 
Hali hiyo ikitokea tena amka fanya maombi.....
 
Sali kabla ya kulala
 
Ukiweza kumkimbilia Yesu Kristo na kumwomba ulinzi kila usiku kabla ya kulala unajikabidhi kwake kwa kuomba kwa JIna Lake, basi utakuwa salama. Vinginevyo uhangaika kwa waganga na mwishowe utahama hapo huku ukiwa umeharibikiwa kimaisha!
 
Mbona simple sana chukua malimao kata vyumba vinne Kila Moja na Kila chumba weka chumvi ya mawe.Ukimaliza weka Kila Kona ya nyumba.Hawatarudi
 
Kwa hiyo comment ni burudani
Itakuwa jamaa amefanya utafiti wa kutosha, na anaushahidi kabisaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜. Maana haiwezekani from no where aje kitudanganya humu.
 
Ukiamka sali sala ya Baba yetu mara 7. kisha nuia KWA JINA LA YESU. Hapo vishindo vyote vitakoma. wanamjua vizuri nyota ya mashariki, Hanaga mbambamba. hapo hapo jeshi la malaika linashuka kuweka ulinzi fasta.

Yeye si ndiye aliyekuumba? Sasa alishakuambia mwenyewe kuwa atakulinda kama utamuhitaji.
NB: "Nayaweza yote kwa yule anitiaye nguvu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…