kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
chukua chumvi mawe umwage kwenye kila kona ya nyumba,,,sio uchawi ata kwenye biblia ipo,,na ndo manake ukiwa na nuksi unaambiwa ukaoge baharini{chumvi hiendani na wachwawi wala mapepo}1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?