Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

Watoto wengi baada ya baba na mama kutengana wanafanikiwa kwa jitihada zao binafsi na siyo za mama zao
Kakudanganya nani?? Mama zao ndo huwa wanawapa moyo wa ku struggle ili wafanikiwe. Mfano mzuri ni diamond na anakiri nafasi ya mama yake kwenye mafanikio. Au hujui hata kumtia moyo tu mtu ni sapoti kubwa sana??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maandiko yanasema mwanamke kaumbiwa utii....mtupende ili tuwatii, sasa nyie mnatuvuruga kila saa
Hata shetani alikosa utii akafukuzwa Mbinguni.

Mungu alimpenda Sana Malaika Aliyekua anaitwa Lusiferi lakinj kiburi na kukosa utii kikamfurumisha mpaka kuzimu. Leo hii Lusifa anajigamba kueafanikisha watu wake Kwa kukiuka maadili na uovu Mwingine .

Adam alimpenda sana Mkewe Hawa lakini Hawa hakuwa mtiifu.Alikaidi mpaka Amri za Mungu Kwa kutaka kuwa Sawa na Mungu Ili amtawale Adam.

Tabia za Shetani zinashabihiana sana na Tabia za Mwanamke .
 
Mkitupenda tutawatii. Ova
 
Sahihisho: nyumba nyingi familia zinaishi pamoja bila shida. Hizo rare cases zisifanye tuseme akina baba wengi, hapana!!
 
Malipo hapa hapa duniani
Yani wewe ushindwane na mimi malipizi ufanye hadi kwa damu yako mwenyewe halafu Leo mtoto ametoboa kwa uwezo wa Mungu ndipo unajitokeza?? Asee kacheze unaposhindaga....nakukaushia mazimaa
 
Tusidanganye

Wewe na mimi tumeoana alafu tukashindwana kwa sababu zetu personal,haijalishi nani mkosefu!

Wewe ukaamua kuondoka,hivi kinachokuzuia kuhudumia watoto ni kipi adi usubiri afanikiwe ndo ujitokeze useme eti ni mwanao na unampenda?

Biblia inasema upendo hufadhili,wewe unajiita baba umeacha kumfadhili mwanao miaka 10+ alafu eti unasema unampenda ila mama yake ndo alikufanya usimsaidie?

Mtupumzishe jamani,mkiachana na wake zenu regardless of what lea watoto wako achana na visingizio visivyo na maana!

Mbona ulaya wanaachana ila bado baba analea watoto?au kwasababu sheria zao ni kali kuliko za kwetu?
Yani baba dizaini ya majaliwa ni wa kuchapwa viboko tu!
Inategemea.
Inawezekana kwenye ugomvi ameambiwa "Hao watoto sio wako."
"Wewe unaweza kuzalisha wewe!! "

Ukiona mwanaume ameacha nyumba na kuondoka Ujue Hana ugomvi na Watoto.
Na mama akipewa hela ya Matumizi kamwe hawezi kusema baba Yao ndio ametoa.Hata Ndani ya ndoa isiyo na ugomvi lakini ni wanawake wachache sana wanaosema kuwa baba yenu ametoa pesa.
Ni wazi kuwa Katika Mali ya uhakika kwa mwanamke ni Watoto wake. Mama anatumia mbinu zote kuhakikisha Thamani yake inakua ni ya kipekee Kwa mtoto Hata kama baba anawajibika mpaka roho itoke.

Watoto Hata wakiwa kumi Kila mmoja na baba yake Lakini Kwa mama wote ni Wa kwake na Wana Haki Sawa Mbele ya mama Yao.
 
Ukifanikiwa kumhudumia kuanzia mdogo nakuhakikishia hakuna sumu itafanya kazi mana hawa tunaowaona wadogo wanaelewa mambo mengi,shida ni moja sumu inafanya kazi mana mtoto anaona kabisa baba haji wala ela hatumi sasa hapo si hata wewe ukijazwa sumu utazimeza kabisa na zitakujaa kwenye system yako yote ya mwili?
Upo sahihi
Hata akikujaza vipi sumu ila unamuona mzee kakuletea nguo
Ada kalipa
Sijui hela ya sikukuu umetoa
Umepeleka debe la mchele home

Sumu haziwez ingia kabisa mwilini hizo

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Mwingine anahudumia kila kitu lakin hamwambii mtoto babaako kaleta kitu flani atampa sumu tu,ndo mana wengine wanaamua ahh sitoi hata matunzo yenyewe
Omba kuongea na mtoto utoe taarifa
Muulize mtoto kuna shida yeyote ? Eg sina daftari basi unamwambia namtumia mama yako pesa ukanunue sasa hivi, next time uliza kama daftari zilinunuliwa ? Kama mama jeuri anza kutuma pesa kwa mangi moja kwa moja

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Inategemea.
Inawezekana kwenye ugomvi ameambiwa "Hao watoto sio wako."
"Wewe unaweza kuzalisha wewe!! "

Ukiona mwanaume ameacha nyumba na kuondoka Ujue Hana ugomvi na Watoto.
Na mama akipewa hela ya Matumizi kamwe hawezi kusema baba Yao ndio ametoa.Hata Ndani ya ndoa isiyo na ugomvi lakini ni wanawake wachache sana wanaosema kuwa baba yenu ametoa pesa.
Ni wazi kuwa Katika Mali ya uhakika kwa mwanamke ni Watoto wake. Mama anatumia mbinu zote kuhakikisha Thamani yake inakua ni ya kipekee Kwa mtoto Hata kama baba anawajibika mpaka roho itoke.

Watoto Hata wakiwa kumi Kila mmoja na baba yake Lakini Kwa mama wote ni Wa kwake na Wana Haki Sawa Mbele ya mama Yao.
Sasa mfano mzee majaliwa kajitokeza mwenyewe kusema majaliwa ni wa kwake ila kwa maelezo ya mama mzee alikua hatoi huduma adi mtoto akaishia form 2 kwa kukosa ada!
Huyo nae utasema mama ana kosa?na huo ndo uhalisia wa wanaume wengi huku kwetu ambao wanaacha kulea watoto akishapata mwanamke mwingine!
 
Mwingine anahudumia kila kitu lakin hamwambii mtoto babaako kaleta kitu flani atampa sumu tu,ndo mana wengine wanaamua ahh sitoi hata matunzo yenyewe
Basi usitoe na mtoto akitoboa kausha hukohuko mana unajidhalilisha tu!
 
Watoto wengi Ni wajinga so usijiaminishe,hivyo vitu sio vinqvyogusa moyo Bali care wanayofanya wanawake.
Usijidanganye hakuna mtoto mjinga
Mimi hapa na utu uzima wangu nakumbuka yote kuanzia matukio ya nursery
Nikupe uhalisia 1st born anasoma darasa la 3,lakini anajua kabisa anaelipa ada ni baba anaenunua kila kitu chake ni baba yake na sio mimi japo mi ndo nampelekaga kununua
So tukirudi kununua lazima akamshukuru mshua wake kwa kutoa ela!In short akiwa na ishu inayohitaji ela anaenda mojakwamoja kwa mshua ila kama kuna shida kapata shule anajua tu ananifata mimi,
So usijidanganye ukasema eti watoto wajinga,utapotea kabisa!
 
Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond.

Kuna kitu kina mama huwa wanasababisha ambacho wazee wanaona Bora kukaa pembeni na kuwaacha watoto na mama yao ila bado anaondoka anawapenda watoto hali tu ya yule mama ndio inamkwaza.
Hapo Bora Majaliwa na mama yake .
Lakini Diamond na mama yake ni watu Wa Hovyo kabisa.

Hivi Jamii haioni tu kuwa Mama Diamond ni MTU Wa Hovyo.
Tujiulize jamii inamsifia Mama Diamond Kwa sababu ya utajiri Wa Diamond au Kwa sababu ya malezi Bora aliyompa mtoto wake.?

Hata Tabia tu ya Yule mama na uzee ule ni ushahidi Tosha kuwa Enzi za ujana hakuwa mwanamke mwanye Nidhamu.

Watu wanamsifia mama Diamond lakini hawasemi chochote juu ya malezi.

Kama Mwanamke inamaana haoni kuwa mtoto wake amebabe tabia kama za baba yake ambazo yeye hakuzipenda ?

Hiví Kwa Mfano ikatokea Diamond akafilisika ,mama yake amempa malezi Gani ya kuigwa na jamii Zaidí ya ufahari Wa Fedha na sio Tabia ? Mama amerdhika tu na Tabia ya mwanawe anavyobadili wanawake Kwa sababu ya pesa bila kujali kuwa ni Maisha ambayo sio mazuri Kwa binadam mwenye maadili mazuri na anayetaka kurithisha.kizazi kingine ? Hiví Jamii haioni kuwa Afrika unapoteza Heshima yake kutokana na kukasekana Kwa maadili.? MTU asiye na maadili haaminiki popote. Anakua ni Mhuni tu.
 
Wababa walitakiwa walielewe hilo kwanza kabisa maana wao mara nyingi ndio watorokaji.
Kwa ujumla tu inaumiza sana watoto kama wawili wakikaa wakatafakari kwa pamoja naona watoto wengi wangeishi kwa furaha zaidi anapo muona baba na mama pamoja,
Niliwah kuwa mbali na familia kama miezi mitatu nilivyorudi mwanangu wa miaka mitatu alivyonirukia na kunikumbatia niliwaza kipindi sipo sijuh alikuwa anawaza nn,
Saa nyingine tunapaswa kuvumiliana sana kwa ajili ya watoto, pamoja yapo mengine hayavumiliki!!!
 
Sasa mfano mzee majaliwa kajitokeza mwenyewe kusema majaliwa ni wa kwake ila kwa maelezo ya mama mzee alikua hatoi huduma adi mtoto akaishia form 2 kwa kukosa ada!
Huyo nae utasema mama ana kosa?na huo ndo uhalisia wa wanaume wengi huku kwetu ambao wanaacha kulea watoto akishapata mwanamke mwingine!
Hiví Hao wasomi na matajiri wengi unaowaona wamesomeshwa na Akina nani na Mali zilizopo Duniani ni za urithi Wa mama au baba?
Kwa nini wanawake wanaotupa watoto hawalei wenyewe.
Hakuna mwanamke anayelea watoto Bila sapiti Wa mwanaume Hata kama ni Mchepuko.

Tunawaona Hata kwenye Biashara ,ujasirianali, makazini wanawake wanajawa na kiburi wakiwa na wanaume nyuma Yao . SASA KAMA MWANAUME UWEZO WAKE NI MDOGO NA MWANAMKE AKADANGA AKAPATA HATA ALFU KUMI YA NYAMA AKIRUDI NI DHARAU NA KUTAKA KUONEKENA KUWA ANAITUNZA FAMILIA. MWANAMKE ASIYE NA Mwanaume au Wa kuchuna hawezi kuwapenda Watoto.
MWANAMKE anawapenda Watoto panapokua na Mwanaume Wa Kumpa Hata kubaba Cha Unga. MWANAMKE akiwa na mtoto halafu Hana Mwanaume Wa kumsaidia mara nyingi anaweza akamchoma moto huyo mtoto au kumtupa Choroní. Hasira. Maana masingo maza wengi wanaoishi Vizuri na Watoto wao ni wale makahaba kama mabaa medi mana wanawalea Kwa kufanga na HAWANA baba maalumu .

Hata ungemtafuta mama yake Mkuu Wa Kaya leo ukamuhoji Vizuri Atakuambia kuwa baba yake ALIKUA hawajali Vizuri kisa mtoto amekua Rais Wa Nchi.

Jiulize Hawa ALIKUA na mume Mmoja Tuu Lakini akamfuata Shetani Kwa Sababu shetani ALIKUA na ufahari na Maarifa MENGI zaidi na akajua kuwa tamaa ya MWANAMKE ni kuwa juu ya Kila kitu kama Mungu.
Kwa hiyo usitegemee kuwa kwenye mafanikio MWANAMKE anamsifia mwanaume. Fuatilia utagundua kuwa Hata wenye mafanikio kama ni watu wastaarabu utakuta MWANAMKE ni Kama vile Yuko juu ya mwanaume na Mwanaume anaamua kuwa mpole na hapendi ligi. Na wengi Wa Hawa ni wale wanopata mafanikio kupitia ajira Lakini SIO Biashara. Waarabu Wana Maendeleo MAKUBWA Lakini HAWANA ujinga na migogoro mikubwa kama Wazungu na waafrika kwenye mahusiano. Wazungu wanajitahidi kulea watoto mana DNA Kwao ni Lazima .
Jiulize leo Tanzania DNA uliambiwa kuwa ni Lazima Ili baba awe na wajibu Wa kulea watoto wakina mama asilimia 80 watakufa Kwa Presha . Na wanaojitahidi kuzuia DNA isiwe Sheria ni wanawake na Hata vipimo mara nyingi vinapindushwa Ili kulinda ndoa .
Akina mama wakiwa Ndani wanajua kuficha madhaifu Yao na ndiyo sifa ya MWANAMKE. Kuficha madhaifu yake.

Usukumani mwanaume kuwa na wake wengi ni kawaida na SIO kwamba ametelekeza Watoto.
 
Nasisitiza ukiachana na wife lea watoto wako,be in their lives
Hii itamsaidia zaidi mwanao kwenye nafsi na akili yake!watu wengi leo wako very bitter adi kwenye mahusiano ukifatalia kwa makini unakuta na majeraha ya zamani ambayo hayajawahi kupona na majeraha mengi yanatokana na kuwa rejected na mzazi!
Huwezi nielewa kama sio muhanga!
 
Na wake zetu wanatuchonganisha sana na watoto wetu ili waonewe huruma. na kimakuzi Mara nyingi mama anakuwa karibu na watoto hivyo wanamuamini. Hata awe amekosea yeye lakini utashangaa gafla watoto hawakuchangamkii. Na mazoea yetu Yale ya kumpa mama Yao hela ya mahitaji ya watoto, utashangaa anawambia watoto nimetoka kulipa ada yenu na nimewanunulia hivi vitu bila kusema baba yenu ndiyo katoa hela, hapo anaweza hata malizia someni si mnaona ninavyohangaika.
 
Mwanamke akiwezeshwa anaweza.

Kampeni ya usawa wa kijinsia imefanikiwa asilimia 200%+.

Wanawake sasa wanashika usukani na hatimaye, wanashika na sharubu za wanaume.

Wamama sasa wanahisi wanaweza kuishi peke yao, ila baba akiondoka, wanagundua alooh! Kumbe bado mwanaume ana nafasi yake.

Kupanga ni kuchagua. Tumechagua kumwinua mwanamke, na ameinuka haswa!

Alamsiki!
Ewe mwanamme timiza wajibu wako kila kitu kitakwenda sawa utaheshimiwa na mkeo pamoja na wanao haya mambo mengine ni visingizio
 
Back
Top Bottom