Sasa mfano mzee majaliwa kajitokeza mwenyewe kusema majaliwa ni wa kwake ila kwa maelezo ya mama mzee alikua hatoi huduma adi mtoto akaishia form 2 kwa kukosa ada!
Huyo nae utasema mama ana kosa?na huo ndo uhalisia wa wanaume wengi huku kwetu ambao wanaacha kulea watoto akishapata mwanamke mwingine!
Hiví Hao wasomi na matajiri wengi unaowaona wamesomeshwa na Akina nani na Mali zilizopo Duniani ni za urithi Wa mama au baba?
Kwa nini wanawake wanaotupa watoto hawalei wenyewe.
Hakuna mwanamke anayelea watoto Bila sapiti Wa mwanaume Hata kama ni Mchepuko.
Tunawaona Hata kwenye Biashara ,ujasirianali, makazini wanawake wanajawa na kiburi wakiwa na wanaume nyuma Yao . SASA KAMA MWANAUME UWEZO WAKE NI MDOGO NA MWANAMKE AKADANGA AKAPATA HATA ALFU KUMI YA NYAMA AKIRUDI NI DHARAU NA KUTAKA KUONEKENA KUWA ANAITUNZA FAMILIA. MWANAMKE ASIYE NA Mwanaume au Wa kuchuna hawezi kuwapenda Watoto.
MWANAMKE anawapenda Watoto panapokua na Mwanaume Wa Kumpa Hata kubaba Cha Unga. MWANAMKE akiwa na mtoto halafu Hana Mwanaume Wa kumsaidia mara nyingi anaweza akamchoma moto huyo mtoto au kumtupa Choroní. Hasira. Maana masingo maza wengi wanaoishi Vizuri na Watoto wao ni wale makahaba kama mabaa medi mana wanawalea Kwa kufanga na HAWANA baba maalumu .
Hata ungemtafuta mama yake Mkuu Wa Kaya leo ukamuhoji Vizuri Atakuambia kuwa baba yake ALIKUA hawajali Vizuri kisa mtoto amekua Rais Wa Nchi.
Jiulize Hawa ALIKUA na mume Mmoja Tuu Lakini akamfuata Shetani Kwa Sababu shetani ALIKUA na ufahari na Maarifa MENGI zaidi na akajua kuwa tamaa ya MWANAMKE ni kuwa juu ya Kila kitu kama Mungu.
Kwa hiyo usitegemee kuwa kwenye mafanikio MWANAMKE anamsifia mwanaume. Fuatilia utagundua kuwa Hata wenye mafanikio kama ni watu wastaarabu utakuta MWANAMKE ni Kama vile Yuko juu ya mwanaume na Mwanaume anaamua kuwa mpole na hapendi ligi. Na wengi Wa Hawa ni wale wanopata mafanikio kupitia ajira Lakini SIO Biashara. Waarabu Wana Maendeleo MAKUBWA Lakini HAWANA ujinga na migogoro mikubwa kama Wazungu na waafrika kwenye mahusiano. Wazungu wanajitahidi kulea watoto mana DNA Kwao ni Lazima .
Jiulize leo Tanzania DNA uliambiwa kuwa ni Lazima Ili baba awe na wajibu Wa kulea watoto wakina mama asilimia 80 watakufa Kwa Presha . Na wanaojitahidi kuzuia DNA isiwe Sheria ni wanawake na Hata vipimo mara nyingi vinapindushwa Ili kulinda ndoa .
Akina mama wakiwa Ndani wanajua kuficha madhaifu Yao na ndiyo sifa ya MWANAMKE. Kuficha madhaifu yake.
Usukumani mwanaume kuwa na wake wengi ni kawaida na SIO kwamba ametelekeza Watoto.