Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Shida wakina mama mnatumia mtoto kama silaha, ugomvi wa baba na mama, mtoto atatumika kama silaha ya mama, aidha kumuadhibu baba endapo, baba anataka kumwona mtoto, au mtoto atageuzwa bomba la kuvuta mkwanja kutoka kwa baba na zisitumike zote kwa mtoto.
Rai yangu kwa wakina baba, ukishindwana na mama yeyoo kila mtu abebe 50 zake, ila mtoto asiachwe kama vile hana baba kwa maana nyingine baba toa huduma muhimu, za kipumbavu piga chini.
Kuhusu sumu mtoto lazima atajazwa tu, hilo lisikupe shida, kama ni wakiume siku moja atakuja kua baba nayeye ataona uhalisia bahati nzuri wengi wamekuja kugundua hili baada ya wao kupata wenza wakapata kuona vimbwanga, na hivyo kupelekea kurudisha kumbukumbu nyuma kuhusu walichoambiwa na mama zao na kubaini ukweli wa walichiambiwa ama kuaminishwa huwa ni kiduchu.