Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

Shida wakina mama mnatumia mtoto kama silaha, ugomvi wa baba na mama, mtoto atatumika kama silaha ya mama, aidha kumuadhibu baba endapo, baba anataka kumwona mtoto, au mtoto atageuzwa bomba la kuvuta mkwanja kutoka kwa baba na zisitumike zote kwa mtoto.

Rai yangu kwa wakina baba, ukishindwana na mama yeyoo kila mtu abebe 50 zake, ila mtoto asiachwe kama vile hana baba kwa maana nyingine baba toa huduma muhimu, za kipumbavu piga chini.

Kuhusu sumu mtoto lazima atajazwa tu, hilo lisikupe shida, kama ni wakiume siku moja atakuja kua baba nayeye ataona uhalisia bahati nzuri wengi wamekuja kugundua hili baada ya wao kupata wenza wakapata kuona vimbwanga, na hivyo kupelekea kurudisha kumbukumbu nyuma kuhusu walichoambiwa na mama zao na kubaini ukweli wa walichiambiwa ama kuaminishwa huwa ni kiduchu.
 
Hayo ni matokeo ya kampeni ya kishetani ya kusema mwanamke na mwaume ni sawa, hii kitu ndiyo inayo itafuna dunia kisawa sawa.
 
Tusidanganye

Wewe na mimi tumeoana alafu tukashindwana kwa sababu zetu personal,haijalishi nani mkosefu!

Wewe ukaamua kuondoka,hivi kinachokuzuia kuhudumia watoto ni kipi adi usubiri afanikiwe ndo ujitokeze useme eti ni mwanao na unampenda?

Biblia inasema upendo hufadhili,wewe unajiita baba umeacha kumfadhili mwanao miaka 10+ alafu eti unasema unampenda ila mama yake ndo alikufanya usimsaidie?

Mtupumzishe jamani,mkiachana na wake zenu regardless of what lea watoto wako achana na visingizio visivyo na maana!

Mbona ulaya wanaachana ila bado baba analea watoto?au kwasababu sheria zao ni kali kuliko za kwetu?
Yani baba dizaini ya majaliwa ni wa kuchapwa viboko tu!
Af leo anasema Maja alete pesa amtunzie😅
Sijui wababa wanaokataa watoto watajifunza lini
Mungu hadhihakiwi
Alichopanda mtu.......
 
Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond.

Kuna kitu kina mama huwa wanasababisha ambacho wazee wanaona Bora kukaa pembeni na kuwaacha watoto na mama yao ila bado anaondoka anawapenda watoto hali tu ya yule mama ndio inamkwaza.
[emoji817] nakubaliana na wew mkuu yamenitokea Ila sito kah kuja kupandisha Uzi juu ya huuo mkasa
 
Success has a thousand fathers, failure is an orphan.

Serikali yenyewe inatutelekeza watu wake mpaka tushinde nishani za Nobel huku nje, mpaka tuingie NBA kivyetuvyetu, mpaka tuonekane kwenye mi TV ya kimataifa, itakuwa hao kinababa?

Many people look for the route of least resistance, and want to maximize on whatever good fortune they can.

I am not endorsing, I am just describing.
 
Tusidanganye

Wewe na mimi tumeoana alafu tukashindwana kwa sababu zetu personal,haijalishi nani mkosefu!

Wewe ukaamua kuondoka,hivi kinachokuzuia kuhudumia watoto ni kipi adi usubiri afanikiwe ndo ujitokeze useme eti ni mwanao na unampenda?

Biblia inasema upendo hufadhili,wewe unajiita baba umeacha kumfadhili mwanao miaka 10+ alafu eti unasema unampenda ila mama yake ndo alikufanya usimsaidie?

Mtupumzishe jamani,mkiachana na wake zenu regardless of what lea watoto wako achana na visingizio visivyo na maana!

Mbona ulaya wanaachana ila bado baba analea watoto?au kwasababu sheria zao ni kali kuliko za kwetu?
Yani baba dizaini ya majaliwa ni wa kuchapwa viboko tu!
Ukihudumia mama kuna njemba inakula huko hii kwa wanaume ni matusi. Kikubwa wanaume hudumia mavazi, chakula ila ada nusu kwa nusu somesha hawa asomeshe hawa mgawane majukumu akizingua nenda kaanzishe maisha mapya after all umetimiza jukumu la uumbaji wakutafute wasikutafute wewe usiangalie nyuma lianzishe upya.
 
Wanawake ni tatizo sana tena sana , slogan ni Ile Ile tu, mwanamke akikuzingua mpak kiwango cha mwisho cha uvumilivu mwache, vinginevyo utafanya mauaji, mwachie kila kitu sepa, wanaume tumeumbiwa kupambana, popote kambi, cha msingi hao watoto endelea kuwahudumia, wakifanikiwa wakakutelekeza fresh tuu we umetimiza majukumu.

Mambo ya kumnyenyekea mtoto kisa kafanikiwa Kwa mwanaume mwenye akili timamu ni Ujinga wa Hali ya juu, yeye anatakiwa na ni wajibu kumkumbuka mzazi wake, kama hawezi leave him/her alone.
Umenena vema kabisa. Japo ukihudumia wamama ni wachawi tu watakupakazia ile mbaya na watoto wasipofungua macho imekula kwako watakupita tu. Wewe angalia wazee waliozeeshana utakuta mama anaita watoto pembeni anaawambia msimpe baba yenu analewa nipeni mimi kisha nitampa ndio inakuwa imetoka hiyo.
 
Siku zote mbaya anaonekana ni mwanamke. Umetolea mfano wa baba majaliwa. Umemsikia aliposema aliondoka akaja dar kutafuta lakini hakuwa na ugomvi na mama majaliwa. Alipokua dar akaanzisha familia nyingine. Ila we umeona wa kupoint hapo ni mama majaliwa.

Umemtaja pia na baba yake ommy, ommy kazaliwa nje ya ndoa kama niliskia vizuri interview lakini baba yake alimtelekeza mazima, na hata msibani kwa mama ommy huyo mzee hakukanyaga, leo mzee analalamika vipi ommy kamkosea, wanaume hamuonagi shida zenu ila ni wanawake tu.

Nyie mnpoenda kuzaa nje mnataka mkirudi mwanamke aufyate akupigie magoti akulambe nyayo, makosa yenu huwa hamuyaoni ama ni kujitoa ufahamu?

Kama uliona kumuacha mama wa mwanao ni kumkomoa basi usirudi pindi mtoto atakapofanikiwa
Na asipofanikiwa na baba akawa ka Mo kwa utajiri huwa mnafanyaje?. Tuangalie pande mbili za shilingi.
 
Tusidanganye

Wewe na mimi tumeoana alafu tukashindwana kwa sababu zetu personal,haijalishi nani mkosefu!

Wewe ukaamua kuondoka,hivi kinachokuzuia kuhudumia watoto ni kipi adi usubiri afanikiwe ndo ujitokeze useme eti ni mwanao na unampenda?

Biblia inasema upendo hufadhili,wewe unajiita baba umeacha kumfadhili mwanao miaka 10+ alafu eti unasema unampenda ila mama yake ndo alikufanya usimsaidie?

Mtupumzishe jamani,mkiachana na wake zenu regardless of what lea watoto wako achana na visingizio visivyo na maana!

Mbona ulaya wanaachana ila bado baba analea watoto?au kwasababu sheria zao ni kali kuliko za kwetu?
Yani baba dizaini ya majaliwa ni wa kuchapwa viboko tu!
Je inafaa kuhudumia watoto kwa bluetooth huku mama akiendelea kukuponda aka kukuchafua kwa watoto?
 
Jamii hasa upande wa kina baba inabidi ijitafakari sana. Wanaume wengi wanafeli kwenye malezi ya watoto. Wale walioko kwenye ndoa na hata wale ambao wametengana. Siku zote upendo mtoto anajifunza kutoka kwa wazazi.

Wanaume wengi wanakimbilia kusema wamama ndo wanasababisha lkn hii sio kweli. Nina mifano mingi sana zaidi ya elfu . Ambayo inaweza dhihirisha hili nilisemalo kwa leo naomba nitoe mifano 2 tu.

Nina shangazi kabisa miaka hiyo alikutana na mwanaume wakapendana ktk mahusiano yao akashika ujauzito baada ya kujifungua ndo akaja kugundua yule bwana alikuwa ni mume wa mtu mwenye familia yake mgogoro ukawa kwa nini hukuniambia na kipindi walipoanza mahusiano huyo baba alikuwa wametengana na mke wake. ! Baada ya tukio hilo dada akamkalisha chini akamwambia tunaishia hapa sitaki laana hatuwezi kuendelea rudi kwa mke wako.

Yule bwana akakasirika alienda mazima hakuwahi kupiga simu wala kuuliza mtoto. Mungu si abdala aunt alipata mwanaume mwingine akaolewa tena kwa ndoa ya kanisani. Mtoto akaendelea kukua yule bwana aliyemuoa akawa anamtunza kama mtoto wake. Maendeleo ya shule yalikuwa mazuri shuleni alikuwa anaongoza kuanzia msingi hadi sekondari. Alipopata akili mama yake alimwambia ukweli huyu sio baba yako baba yako ni yuko sehemu fulani anaitwa fulani. Kwa hiyo usije ukafanya kitu cha kijinga ukamvunja moyo baba anayekulea maana huyo mtoto ni binti.

Alipofika kidato cha sita akawa anaanza maandalizi ya kupata cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya maombi ya chuo. Siku hiyo binti mwenyewe kamfuta mama akamuuliza nina baba wawili nitumie jina la baba yupi kwenye vyeti? Mama yake alichomjibu umeshakua binti mkubwa miaka 18 fanya maamuzi kadri moyo wako utavyokutuma. Mtoto alijibu naandika majina ya baba aliyenilea toka naanza kupata fahamu ndiye niliyemuona na aliyesimama kama baba yangu. Mama yake akamjibu sawa wala hakuingilia maamuzi ya binti yake.

Kipindi binti yuko chuo mwaka wa kwanza yule baba kwa mara ya kwanza ndo akamtafuta aunt anaulizia mtoto,,hakuwa na hiyana akamwambia binti yako ameshakua mkubwa akaomba kukutanishwa naye. Ila alimshirikisha mume wake wakaridhia mtoto akutane na baba yake. Basi bwana siku ikafika baba mzazi akaomba msamahana akamwambia ooh nataka twende nyumbani ukaone ndugu zako nikakupe na urithi wako,,binti alichomjibu siwezi kukataa kuwa wewe ni mzazi wangu na miaka yote hii hata hukujaribu kunitafuta binafsi sikuwahi kuhitaji urithi wako nilichokuwa nahitaji ni uwepo wako.

Yule bwana akaondoka. Binti anaendelea na maisha yake sijawahi kusikia kama alienda kwenye familia ya baba yake.

Ninachosema hakuna mama anayependa baba asimuhudumie mtoto. Iwe wametengena au laaa. Wenzetu ngozi nyeupe wazazi hata kama wameachana mtoto hawezi kujua hadi anapokuwa amefikia umri fulani. Wanaume wanapaswa kusimama kwenye nafasi zao. Haijalishi nini lea watoto toa matunzo jenga urafiki na mtoto kujua magumu anayopitia,,mtie moyo. Ili siku moja msianze kusema wamama wanawalisha watoto simu.

Wanasaikilojia wanasema malezi ya mtoto yanaanza tangu pale mimba inapotungwa. Kila mtu atavuna kile anachopanda.
 
Je inafaa kuhudumia watoto kwa bluetooth huku mama akiendelea kukuponda aka kukuchafua kwa watoto?
Kwanini uhudumie kwa bluetooth?kwani hujui wanapoishi?ukaenda mwenyewe ukawaona au hata kuwachukua japo weekend ushinde nao watoto wawe wanakua huku wanajua baba yangu fulani na ananipenda
Hujiulizi why hizi ishu hatuzisikii wa wazungu?ni kwasababu wenzetu hata wakiachana sheria zinawabana kulea watoto kwa pamoja unakuta siku 2 kwa wiki mtoto anakaa kwa baba zingine kwa mama
Shida yenu nyie wanaume wa kiafrika huo mda wa kukaa na wanao ukishaachana na mama yao wala huna na ndo mana wanajazwa sumu za kila aina!
Badilikeni igeni kwa wenzenu afu muone kama hizo sumu zitafanya kazi!
 
Sehemu kubwa ya wanawake wakishaachana na mwanaume wanataka wapande sumu kwa watoto hasa kama bado ana hisia na huyo mwanaume.Kuna mazingira fulani ngumu kuchukua watoto, je kama mwanamke huyo ameolewa tena itakuwa rahisi kusema unaenda kuwaona au kuletewa watoto? Shortly tembea zako kidume wakija wakiwa wakubwa na wakawa waelewa life litaendelea wakileta ubolizozo unawafuta tu katika mindset.Unaendelea na vingine unavyoweza kufanya na vikakupa furaha na mwendelezo wa maisha yako.Kikao tuliamua hayo
 
Back
Top Bottom