City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Poa poa mkuu.Wamejenga maduka....vibaka wamehamia airport ya zamani na njia ya kwenda isanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa mkuu.Wamejenga maduka....vibaka wamehamia airport ya zamani na njia ya kwenda isanga
Na kubakwa juu🥴Viijana wa mwanjels utajikuta umelala chini chumba cheupe🤣
Hahaha!ukiwa na boxer tuuhViijana wa mwanjels utajikuta umelala chini chumba cheupe🤣
Ndo changamoto hiyoWatanzania akili zetu ni za kuigana tu hatuna akili mbadala yule kafyatua tofali basi na wewe unafyatua tofali wakati kontena mbili tu, unapata ghetto la nguvu sana
hamna yani hiyo ni uhakika kabisaUsije ukaliwasha moto itakua balaa
35M ni nyingi sana unajenga nyumba 10 za makontenaNgoja nifanye studies kuhusu nyumba za hivyo hapa Bongo.
Kuna Mgodi mmoja niliwahi kutembelea nilizikuta, japo hazikuwa na huo muonekano wa kuvutia.
Unaweza kuandaa maybe 35M hivi ukapata makazi ya kuishi huko Vijijini Kwa Wazee wetu.
Christmas na Mwaka Mpya unapeleka familia kwenda kuinjoi hewa safi na mazingira ya kuvutia huko
Nimependa kigorofa fulani hapo, ndiyo nakipigia hesabu kukajenga cha hivyo35M ni nyingi sana unajenga nyumba 10 za makontena
OkayNimependa kigorofa fulani hapo, ndiyo nakipigia hesabu kukajenga cha hivyo
Una mawasiliano yao Mkuu?Kuna waturuki flan mitaa ya mbegu walikuwa wanafanya project kama hizi
Mobile Station
Material ni chuma na sendwichpanelView attachment 3139277View attachment 3139278View attachment 3139279View attachment 3139272
Ha haKuishi kwenye kontena ni umasikini tu kwa kweli.
Labda kama uko bachelor au spinster.
Kwa familia hapana.
Ni kontena kweli, siyo bati nzito za kutengenezea mageti nd'ozimetumika?Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes. View attachment 3139250
Mkuu hawa jamaa nilimpigia nao kazi kitambo kidogoUna mawasiliano yao Mkuu?
Shukrani MkuuMkuu hawa jamaa nilimpigia nao kazi kitambo kidogo
Lakini kwa sasa nasikia walishaurudi kwao