Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

Una mawasiliano yao Mkuu?
Miradi ulikuwa mzuri sana

Kama hizo tulifanya chunya songwe kwenye mgodi wa Shanta gold mining
FB_IMG_17303020140725824.jpg
 
Kwa nini uishi kwenye kontena? Sio kila mnachokiona kwenye mitandao ni cha kuiga hizo ni fantasy tu
 
Shoti ya umeme ikishika hilo jumba lako ndio "kisorokwinyo" kitakuisha hasa umeme wetu huu wa afrika na akili zetu usalama zero mara pap marehemu alikufa akitafuta sifa za nyumba
 
Shoti ya umeme ikishika hilo jumba lako ndio "kisorokwinyo" kitakuisha hasa umeme wetu huu wa afrika na akili zetu usalama zero mara pap marehemu alikufa akitafuta sifa za nyumba
Waya za umeme zinaingizwa ndani ya pipe, kumbuka by 100 percent Gypsum board ndizo hupendezesha nyumba hizi kwa ndani, hakuna joto, pipes za umeme huwa kati ya Gypsum na kipande kidogo cha mbao kwa kati.
 
Back
Top Bottom