Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

4.5ml kontena la futi 40 kwahiyo ukiwa na 6ml unaingia ghetto.
Jichanganye, mnavyoona hayo mavioo mnasikia raha eh? Bei ya dirisha Moja tu mkuu Bei yake si unajua, haya madirisha yetu ya fundi juma
 
Kwa nini uishi kwenye kontena? Sio kila mnachokiona kwenye mitandao ni cha kuiga hizo ni fantasy tu
 
unajenga ata cabin moja porini uko unakuwa unaenda kupumzisha ubongo kelele za town zikizidi.
Nimepokea Ushauri Mkuu

Sometimes tunahitaji Utulivu ili kuweza kupata muda wa ku-resolve baadhi ya ishu tukiwa wenyewe
 
Shoti ya umeme ikishika hilo jumba lako ndio "kisorokwinyo" kitakuisha hasa umeme wetu huu wa afrika na akili zetu usalama zero mara pap marehemu alikufa akitafuta sifa za nyumba
 
Shoti ya umeme ikishika hilo jumba lako ndio "kisorokwinyo" kitakuisha hasa umeme wetu huu wa afrika na akili zetu usalama zero mara pap marehemu alikufa akitafuta sifa za nyumba
Waya za umeme zinaingizwa ndani ya pipe, kumbuka by 100 percent Gypsum board ndizo hupendezesha nyumba hizi kwa ndani, hakuna joto, pipes za umeme huwa kati ya Gypsum na kipande kidogo cha mbao kwa kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…