Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

Kwa nini uishi kwenye kontena? Sio kila mnachokiona kwenye mitandao ni cha kuiga hizo ni fantasy tu
Kwa hiyo nyumba ni za matofali pekee?, tena kwa joto la Africa ilitupasa tujenge nyumba za mbao zaidi, hii maana yake tunahitaji ubunifu zaidi, kuona tunafanyaje ili tuishi comfortable and safe, falsafa ya kumezeshwa utambi kwenye akili imepitwa na wakati, yaani binadamu huyu, asiwe mbunifu, na ajue akimaliza shule aajiriwe akishapata kazi apigishe matofali ajenge nyumba, baadae Aoe mke azae watoto asubirie kustaafu, it's very poor mindset, ndizo akili za watanzania kwa 95%.
 
Umejenga?
 
Hizi nyumba za mchongo zinawatesa sana wazungu hasa kipindi cha kimbunga
 
Alternative ya kupanga imekua ngumu sana tujikaze tu tujenge nyumba za kueleweka ndugu zangu, hii roho ya umaskini tuikemee.
 
Hizi zimekaa fresh kwa wazee wetu wanaostafu anakua nako huko farm akijifugia kuku na kujilimia taratiibu .
 
Nina jamaa yangu yupo pale Masaki ana ofisi yake (Kitchen Studio) kituo kinaitwa Taxi ipo barabarani kabisa.

Nyumba hizi zina gharama kidogo kwa ssb zinahitaji ufanye insulation ya viwango ili iendane na hali ya hewa yaani joto kali au baridi sana.
 
Nina jamaa yangu yupo pale Masaki ana ofisi yake (Kitchen Studio) kituo kinaitwa Taxi ipo barabarani kabisa.

Nyumba hizi zina gharama kidogo kwa ssb zinahitaji ufanye insulation ya viwango ili iendane na hali ya hewa yaani joto kali au baridi sana.
Nimeuliza bei sehemu nimeambiwa roughly cost ya empty container ni 3 to 4.5M

Kwa gharama hizo, hopefully tunaweza ku-afford
 
Ukijenga hizo huku kwetu uswahilini, watu watakesha wanakuchungulia. Na vibaka uswahilini huku itakuwa sherehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…