qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Yaan ananunua nyumba huko marekani au utani huuuu sio mzuriii loooo binamu niambie kwa hiliiii za huku tu zimemshinda ataweza bill za hukooo
Hahaaa dina weee mwenzio ana bilioni moja kwenye account yake
kimya kingi kina ....... ki2 hadi swimming..!! coming soon! ndomo ana balaaa!!!!Wekeni na nyumba Camanda Platinumz tupime hapa.
kimya kingi kina ....... ki2 hadi swimming..!! coming soon! ndomo ana balaaa!!!!
Au Mbasha lol
Pic Inayoonesha Kwa Ndani Ni Apartment Aliyoipanga Akiwa Nje Ya Nchi Miaka Michache Iliyopita,Alipost Hizo Pics Kwenye Blog Yake.....pic Inayoonesha .Kwa Nje Ni Nyumba Yake Mwenyewe....
Jide hawezi yule,kafa kaoza kwa gadna na ukitak ujue u komando wa jide akufume na gadner
hivi jide ana umri gani? isijekuwa anambemenda garder tu ndio maana kafa kaoza.
Ana miaka 30 tu
alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miezi miwili? unajuwa classmates wake wana wajukuu?
alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miezi miwili? unajuwa classmates wake wana wajukuu?
Nami nimeshangaa anaweza kua hata na 38 kazamani hakoo
Jide hawezi yule,kafa kaoza kwa gadna na ukitak ujue u komando wa jide akufume na gadner
We umepatia, Jide ni kuanzia 38 tena mi nahisa 40 zaidi ,maana Jide ana miaka 13 kwenze na kabla ya hapo alikuwa mtangazaji clouds ni umri wa kina Vic Kamata sema ana mbegu ya kizaramu haikui
Jaman ata akiwa na miaka 50 kwani cha ajabu nini? Si ni miaka jaman, mumuache bhana jide wa watu, mbona akina madonna na jlo wameenda age na bado wanadunda? Acheni hizo bhana
binamu unampenda sana jide