Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wakati huo tulikuwa na mfumo wa Uingereza kwa kila kitu hata serikalini kulikuwa na maafisa wengi wa kiingereza tukiacha mawaziri wazungu, wewe unaeleza ya kusikia tofauti na mimi niliyekuwepo.Kabla way kwenda Uingereza akiwa bado hapa, alipewa pesa kwa influence aliyokuwa nayo ndani ya utawala pia alikuwa mjenga hoja mzuri sana. Aliwakoga sana Waingereza pia alikua na Kiingereza kizuri sana.
Yule mzee sasa ndio watu wanajua alikuwa miyeyusho tu. Na ndio katurudisha sana nyuma.Nyerere usimuamini sana alikuwa akimuchukia atakuita majina yote mabaya,alisema iddi amini ni joka,sijui anakula nyama za watu,kumbe wapi
Jamaa kauliza swali la kikuda kweliFeza ni shule binafsi, nyumba ni mali binafsi sasa unaulizia mambo binafsi ambayo watu wamekubaliana wenyewe sisi tutajuaje?
BTW wanaweza kuwa na Mali nyingi wakaamua kuipangisha Ile nyumba sababu inakaa bure tu, pia kuipangisha Feza schools wanapata pesa nyingi sana imagine Ada ya mtoto sio chini ya milioni saba sasa unadhani Kodi ni kiasi gani ?
Mtoto mmoja aliuwawa huko UK na majasusi wa TZUkiangalia taarifa zake mtandaoni wanasema alikimbia kwenda London mwaka 1967 na mke na watoto wake wawili
Tupe definition ya socialism Kwanza... Huwezi kuita VICOBA eti ujamaa. Jaribu kuzingua wanavicoba wenzio uone kama utasavaivu...Unatoka kijiji gani?
Ukirudi kijijini kwenu huwa unapotea njia?
Tambua mawazo ya kujenga vijiji ni Nyerere mwenyewe . Mawazo hai , Bado yanaishi na utayaacha yakiboreshwa.
Ujamaa kama ilivyo via Tamu, watu watafanya biashara na watakopeshana kwa mtindo wa kijamaa (vikoba)
Hata sijui alimkorofisha nini yule mzee wa Butiama?
Kuna gazeti kule jamii photos wameandika "OSCAR KAMBONA MALAYA" Miaka hiyo .....nilichojifunza in life NO PERMANENT FRIEND NO PERMANENT ENEMY
Kwani Askari Magereza wanapata Laki tano?? Nilitaka kuomba Kazi hiiOscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analiowa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Sijaongelea socialism, naongelea Ujamaa. Ujamaa ni tofauti na socialism.Tupe definition ya socialism Kwanza...huwezi kuita VICOBA eti ujamaa..jaribu kuzingua wanavicoba wenzio uone km utasavaivu...
Mungu mkubwa ngoja tuone ya bwana Ndugai itagezwa nn kule salasalaTakbiiir
Ndio tujue mipasho kwa wanasiasa ilikuwepo toka zamani. Halafu saivi watu wanamsema mama kuwa Ana mipashoLugha ya hili gazeti mbona ilikuwa kali sana? Yote hayo ni kwa ajili ya kuwafurahisha Nyerere (kuhusu Kambona) na Karume (kuhusu Kassim Hanga)?
Kwa kipindi kile Kambona hakuwa shh, nchi ilikuwa bado haina wataalam, unaambiwa baada ya Uhuru nchi nzima ma profesa walikuwa hawazidi 10, Sasa niambie kwa picha hiyo unadhani nini kingetokea endapo wangeruhusu wazungu kuchukua deals mbali mbali za uchumi, haya madini mnayojisifia yasingekuwepo!!Mawazo ya Kambona kuhusu uchumi yanaishi hata sasa ya Mwalimu yamekufa
Hata sasa still madini hayatunufaishi zaidi ya wageni, sekta ya madini na kilimo zinaweza ajili vijana wote tza na wakabaki shida ya ccm haina ubunifukwa kipindi kile kambona hakuwa shh, nchi ilikuwa bado haina wataalam ,unaambiwa baada ya Uhuru nchi nzima ma profesa walikuwa hawazidi 10,Sasa niambie kwa picha hiyo unadhani Nini kingetokea endapo wangeruhusu wazungu kuchukua deals mbali mbali za uchumi, haya madini mnayojisifia yasingekuwepo!! mwal. akitaka kwanza wasimamizi wa raslimali waongezeke Tena si tu kuongezeka kwa idadi ya watu ,bali wataalam na wasomi waongezeke,hawa ndo wangesaidia kusimamia raslimali za nchi. ikiwa Kama hivi leo miaka ya 2022 tunapigwa na tunao wasomi kibao,je Kama hii habari ingeanza miaka ya 60's ingekuwaje!!??
Oscar Kambona alikuwa na haiba, akili, na exposure kali sana! Wa kufanana naye ukanda huu enzi hizo alikuwa Tom Mboya wa Kenya bonge la genius japo walimuua.Kabla way kwenda Uingereza akiwa bado hapa, alipewa pesa kwa influence aliyokuwa nayo ndani ya utawala pia alikuwa mjenga hoja mzuri sana. Aliwakoga sana Waingereza pia alikua na Kiingereza kizuri sana.
... dah! Kumbe zamani kulikuwa na wazuri sio mchezo!Nyerere hakusimamia harusi ya Kambona....
Hili nilidhani presidential historians tulishalisemea
Hizi ni porojo tu..kwa kipindi kile kambona hakuwa shh, nchi ilikuwa bado haina wataalam ,unaambiwa baada ya Uhuru nchi nzima ma profesa walikuwa hawazidi 10,Sasa niambie kwa picha hiyo unadhani Nini kingetokea endapo wangeruhusu wazungu kuchukua deals mbali mbali za uchumi, haya madini mnayojisifia yasingekuwepo!! mwal. akitaka kwanza wasimamizi wa raslimali waongezeke Tena si tu kuongezeka kwa idadi ya watu ,bali wataalam na wasomi waongezeke,hawa ndo wangesaidia kusimamia raslimali za nchi. ikiwa Kama hivi leo miaka ya 2022 tunapigwa na tunao wasomi kibao,je Kama hii habari ingeanza miaka ya 60's ingekuwaje!!??
Yanaishije mkuu hebu fungua kitabu.Mawazo ya Kambona kuhusu uchumi yanaishi hata sasa ya Mwalimu yamekufa
Una hakika?.... Fanya utafiti wako vizuri.Kambona aliamini siasa za ubepari na akiwa Waziri akishaingia mikataba mingi na wawekezaji wa Kiingereza na walimpa cha juu chake. Kwenye account yake alikua na pesa nyingi sana
Wakati Nyerere aliamini katika Ujamaa, hakuwa na tamaa ya pesa na mpaka anastaafu hakuwa na hekalu alilojimilisha.
VipoYanaishije mkuu hebu fungua kitabu.
Mwalimu alikuwa mjuaji asiyejua chochote kuhusu uchumi na uzalishaji.kwa kipindi kile kambona hakuwa shh, nchi ilikuwa bado haina wataalam ,unaambiwa baada ya Uhuru nchi nzima ma profesa walikuwa hawazidi 10,Sasa niambie kwa picha hiyo unadhani Nini kingetokea endapo wangeruhusu wazungu kuchukua deals mbali mbali za uchumi, haya madini mnayojisifia yasingekuwepo!! mwal. akitaka kwanza wasimamizi wa raslimali waongezeke Tena si tu kuongezeka kwa idadi ya watu ,bali wataalam na wasomi waongezeke,hawa ndo wangesaidia kusimamia raslimali za nchi. ikiwa Kama hivi leo miaka ya 2022 tunapigwa na tunao wasomi kibao,je Kama hii habari ingeanza miaka ya 60's ingekuwaje!!??