Wakati ule boss wa Magufuli alikuwa Sumaye ambae kidogo mumpe madaraka,..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Wakati ule boss wa Magufuli alikuwa Sumaye ambae kidogo mmpe madaraka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajishaua tu kwani huko Tiss hawapo?? Hawakuona na kuzuia hilo?? Wanataka ujiko tu kwa wananchi.Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.
Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.
Source: ITV Habari
Ndio maana limebumbuluka nadhani aliyepaswa kuinunua hakufanikiwa ameingia gere. Hahaaaa maccm na maviongozi yote majiziHapo itakuwa walinunua wasiohitajika, nchi za Afrika tuna matatizo sana
Mada iliyoko mezani ni ufisadi katika mauzo ya nyumba za serikali na mchangiaji ameitaja kwa herufi kubwa kusisitiza kuwa hayuko nje ya mada.Bwashee jikite kwenye mada iliyoko mezani!
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.
Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.
Source: ITV Habari
We hujui nyumba obay ziliuzwa bei cheeBwashee jikite kwenye mada iliyoko mezani!
Mupe muruke
Fala wewe .nyumba hazihami ila unaweza kwenda kutonyesha hizo unazodai alihonga kama njugu zilipo. Au kiswahili hujui?
Wao wenyewe wana majumba hukoYeye lukuvi ike yake kule Masaki ina thamaniya 2b kauziwa 50m
Aache nongwa
Sent from my iPad using JamiiForums
Hili jizi la kutupa kule Dodoma limejifanya kuuza magodown lililo ya nyakuwa likiwa katika bodi ya CDA na maviwanja lukuki ipo siku atulie hakuna siri chini ya juaMh. Lukuvi inaonekana ndiye Waziri pekee anaemuelewa Rais. Anafanya maamuzi magumu lakini sahihi kulinganisha na wengine wasio na maamuzi, wanaomletea Rais lawama kutoka kwa wananchi. Mfano ni huyo anaehusika na usajili wa line za simu kwa alama za vidole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok....anafanya jitihadalukuvi ni mfano wa kuigwa katika baraza la mawaziri
Kwani wewe mbona unajifanya hujui hali tunajua kuwa unajua. Au na wewe unatafuta kick ya kufikishwa mahali. Hili halina mjadala Watanzania woooote wanajua hili vizuri jinsi walivyopeana wenyewe kwa wenyewe kwa bei ya njugu tena majumba yenyewe ya Serikali yenye maviwanja makuuuuubwa kupindukia. Leo ndo waziri anafunguka macho. Wachunguzwe kwanza hao waliouza hizo nyumba kipindi cha nyuma warudishe.Unaoushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.
Baraza Lipi, acha kutudanganya wewe. Hatudanganyiki tena, its too lateKuuza nyumba za serikali ulikuwa ni uamuzi wa Baraza la mawaziri!
Umesoma kitabu cha B W Mkapa?
Linapokuja suala la uwajibikaji kwenye utekelezaji wa maamuzi yoyote ya baraza la mawaziri, then uamuzi huo unatumia kanuni ya a collective responsibility, hapa Magufuli alikuwa ni mtekelezaji tuu na alitimiza wajibu wake kikamilifu...Waziri mhusika alikuwa Magufuli.
..Huyo ndiye Waziri anayewajibika moja kwa moja na ufisadi wa kuuza nyumba za serikali.
Unaniangusha ndugu yangu, uzee unakuingia vibaya, katika any collective action lazima mmoja awepo kuwa muhusika haswaaa!!!Linapokuja suala la uwajibikaji kwenye utekelezaji wa maamuzi yoyote ya baraza la mawaziri, then uamuzi huo unatumia kanuni ya a collective responsibility, hapa Magufuli alikuwa ni mtekelezaji tuu na alitimiza wajibu wake kikamilifu.
P