Magufuli hakuuza nyumba, nyumba ziliuzwa kwa maamuzi ya Mkapa, jambo hili Sumaye alilitolea ufafanuzi video nyingi tumeweka humu...Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Waziri na upande mwingine wa serikali wanataka kutuaminisha kuwa hawakufahamu mipango na uuzwaji na bei iliyofikiwa.Ndio maana limebumbuluka nadhani aliyepaswa kuinunua hakufanikiwa ameingia gere. Hahaaaa maccm na maviongozi yote majizi
Kanuni ni moja tu huwezi kuipenda ccm kama huna maslahi nayo , utakuwa ni mpumbavu usiye na akili. Ccm haifai
Sipati picha huyu mwalimu (watu) aliyeandaa hawa wanafunzi wangezungumza uwanja wa uhuru pale wangefanywaje baada ya sherehe kupita.Sikiliza hii. Kusini mwa jangwa la Sahara ni shughuli yaani taabu tubu
View attachment 1326736
Kick ya kunifikisha mahali ? Wapi? Unajua unacho kijibu? Kuhusu nyumba kuuzwa iwe ni bei chee au kubwa hilo linajulikana. Tena kwa taarifa yako sababu kubwa ambayo ilitajwa na serikali ilikuwa ni kuwa zimechakaa sababu zilijengwa kipindi cha ukoloni. Mimi hoja ni kuwa wewe unadai kuwa walipeana nyumba na Magari. Ukipelekwa mahakamani ukatoe ushahidi. Unaweza kuthibitisha namna walivyopeana na hizo nyumba walizopeana ziko wapi? Maana si walitumia vibaya madaraka. Leo hii ukiwambele ya mahakama unaweza kusema X alipewa nyumba B iliyopo Oysterbay. Na alipewa Vx D amabalo lipo mahala fulani.Kwani wewe mbona unajifanya hujui hali tunajua kuwa unajua.Au na wewe unatafuta kick ya kufikishwa mahali.Hili halina mjadala Watanzania woooote wanajua hili vizuri jinsi walivyopeana wenyewe kwa wenyewe kwa bei ya njugu tena majumba yenyewe ya Serikali yenye maviwanja makuuuuubwa kupindukia.Leo ndo Waziri anafunguka macho.Wachunguzwe kwanza hao waliouza hizo nyumba kipindi cha nyumba warudishe.
Swala hili watumishi wengi waliokuwa serikali wao wanajua zaidi sana kwani wanasema nyingi ni kama walipewa bure bin buuuure.Hali kadhalka,walipeana tena buuuure, magari ya Serikali.
We acha tu.Nchi hii.kuna mambo.
Uraibu ni hatari sana..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Vipi kuhusu zilizogawiwa hawara na mdogo wake "jiwe"enzi zile? Haki sawa kwa wote.Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.
Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.
Source: ITV Habari
Bwashee jikite kwenye mada iliyoko mezani!
Jinai haina ukomo. Ipo siku atajibu, hata akiwa kaburini litafukuliwa!
Baraza lilamua "ndugu na hawara" wauziwe pia?Ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri.sio wa mtu mmoja(JPM) waziri mkuu alikuwa Sumae
Hayo ni moja ya maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na wenye mamlaka. Kuyatetea ni kujipambanua kuwa ni wa hovyo pia kama walioyafanya! Swali: "Wewe ni wa hovyo kihivyo?"waliompiga TLissu anawajua yeye mwenyewe na dereva wake aliyemficha nadhani..aje polisi atoe ushahidi atuambie hata sura zai zinafananaje basi..amebaki anarukaruka kama kishada kwenye nchi za watu tu.. sijawahi sikia kashfa ya uuzaji wa nyumba kuhusiana na bei..wengi wanalalamikia maamuzi tu ya kuamua kuuza nyumba za serikali labda hayakuwa maamuzi sahihi kwa.wakati ule..huo ni mtazamo wa nje huku sisi wananchi..lakini inawezekana kwa mtazamo wa ndani wa serikali inawezekana walikuwa na sababu za msingi. za kwanini. walifanya.hivyo..sawa jomba
Report ya CAG ilimtaja Magufuli. Wewe unatuambia Sumaye na Lowassa.
Gazeti gani?
wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani,kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu..kwani yalikuwa maamuzi yake.binafsi..wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna.ufisadi..? hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...
nani alipanga bei kwani..au kila mtu alikuwa anajipangia..labda tueleze mfumo mzima wa utaratibu ulikuwaje kama kweli ulikuwa ukifuatilia..kwanza nawasiwasi ulikuwa hata hujazaliwa kipindi hicho. unatuptesea muda wetu tu kwa kukaririshwa taarifa
Hakika!Linapokuja suala la uwajibikaji kwenye utekelezaji wa maamuzi yoyote ya baraza la mawaziri, then uamuzi huo unatumia kanuni ya a collective responsibility, hapa Magufuli alikuwa ni mtekelezaji tuu na alitimiza wajibu wake kikamilifu.
P
Ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri.sio wa mtu mmoja(JPM) waziri mkuu alikuwa Sumae
Nataka nipate ukweli. Sitetei mtu.