Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Na kumuuzia hawara na ndugu yake ilikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri?
 
Omba sana Mungu akupe akili japo kidogo. Anayeweza kuandika hiki ulichoandika hapa ni mtu mwenye akili za kuvukia barabara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

CAG hakumtaja Sumaye... Hayo ni mawazo ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
 

CAG hakumtaja Sumaye... Hayo ni mawazo ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikurupuke hayo mahojiano ya CAG ni ya mwaka 2014 kabla hata JPM hajaingia madarakani.CAG aliyepita kwenye mahojiano hayo amezungumzia kwa ujumla watu ambao wanaingia kwenye siasa ili kwenda kupiga madili. Kama uuzwaji wa nyumba ulikuwa na kasoro sio lawama apewe JPM maana cabinet ilikubali. Na cabinet ndio chombo chenye mamlaka ya kumshauri rais katika kutekeleza mamlaka yake.
 

CAG hakumtaja Sumaye...
Wakati ule boss wa Magufuli alikuwa Sumaye ambae kidogo mmpe madaraka,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah... wewe unachekesha watu. Kwa huyo wewe ukitumwa ukapige mtu Risasi then wewe hutokuwa na hatia ila yule aliyekutuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometime time Lukuvi namuelewa lakini wakati mwingine ni Ngumu kumuelewa
 
Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Ilikuwa huwezi ukapata nyumba ya NHC bila kuwa na pesa. Baadae wakauziwa kwa bei ya kutupwa. Hili halilalamikiwi isipokuwa kwa hawa waliouziwa nyumba hizo ambao ni maskini kiasi kuwa wanalipia deni hilo la ununuzi kutoka pesa ya kustaafu. Zote zilalamikiwe kwa kuuzwa maana zote za serikali
 
Baraza lilamua "ndugu na hawara" wauziwe pia?
Tunaomba ushahidi wa hao ndugu na jamaa jinsi walivyouziwa. Weka hapa jamvini hati na plot number na kama hawakuwa watumishi wa serikali thibitisha pia.
 
Watu wengi humu wamebakiza ushabiki na chuki.hawaweki facts.
Maana mchakato mzima wa kuuza hizo nyumba ulikuwa wazi na hoja kubwa ilikuwa kwamba nyumba zimechakaa hivyo serikali inatakiwa ijenge nyumba mpya kwa ajili ya viongozi. Baraza la mawaziri ndio lilikubali kuuzwa nyumba hizi. Waziri mkuu alikuwa F .Sumaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…