42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kumuuzia hawara na ndugu yake ilikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri?wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani,kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu..kwani yalikuwa maamuzi yake.binafsi..wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna.ufisadi..? hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...
waliompiga TLissu anawajua yeye mwenyewe na dereva wake aliyemficha nadhani..aje polisi atoe ushahidi atuambie hata sura zai zinafananaje basi..amebaki anarukaruka kama kishada kwenye nchi za watu tu.. sijawahi sikia kashfa ya uuzaji wa nyumba kuhusiana na bei..wengi wanalalamikia maamuzi tu ya kuamua kuuza nyumba za serikali labda hayakuwa maamuzi sahihi kwa.wakati ule..huo ni mtazamo wa nje huku sisi wananchi..lakini inawezekana kwa mtazamo wa ndani wa serikali inawezekana walikuwa na sababu za msingi. za kwanini. walifanya.hivyo..sawa jomba
Kwanza kabisa muelewa wadau.ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri. Alafu kila nyumba iliuzwa kulingana na thamani yake na eneo ilipo. Hizi nyumba mfano kule mwanza isamilo nyingi zilikuwa zimechakaa na hata zilikuwa zinavuja maana zilikuwa zimeezekwa kwa vigae. Alafu walipita wataalamu kufanya valuation ya kila nyumba ili kupanga bei. Kumhusisha mkuu na hili suala ni kumuonea tu. Wa kulaumiwa ni Sumae ambae alikuwa waziri mkuu

Hao waliohusika mmewahi kuwafikisha mahakamani?Msimamizi mkuu alikuwa Lumbanga na mzee Sumaye!
Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Kwani huyo CAG amemtaja nani?!
Usikurupuke hayo mahojiano ya CAG ni ya mwaka 2014 kabla hata JPM hajaingia madarakani.CAG aliyepita kwenye mahojiano hayo amezungumzia kwa ujumla watu ambao wanaingia kwenye siasa ili kwenda kupiga madili. Kama uuzwaji wa nyumba ulikuwa na kasoro sio lawama apewe JPM maana cabinet ilikubali. Na cabinet ndio chombo chenye mamlaka ya kumshauri rais katika kutekeleza mamlaka yake.Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa. Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP." Anadai watu wanaendekeza faida binafsi ktk maamuzi yao wakiwa madarakani. Amekwenda mbali na...www.jamiiforums.com
CAG hakumtaja Sumaye... Hayo ni mawazo ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa. Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP." Anadai watu wanaendekeza faida binafsi ktk maamuzi yao wakiwa madarakani. Amekwenda mbali na...www.jamiiforums.com
CAG hakumtaja Sumaye... Hayo ni mawazo ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ule boss wa Magufuli alikuwa Sumaye ambae kidogo mmpe madaraka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakamani kufanya nini?!
Kwani huyo CAG amemtaja nani?!
Usikurupuke hayo mahojiano ya CAG ni ya mwaka 2014 kabala hata JPM hajaingia madarakani.CAG aliyepita kwenye mahojiano hayo amezungumzia kwa ujumla watu ambao wanaingia kwenye siasa ili kwenda kupiga madili. Kama uuzwaji wa nyumba ulikuwa na kasoro sio lawama apewe JPM maana cabinet ilikubali. Na cabinet ndio chombo chenye mamlaka ya kumshauri rais katika kutekeleza mamlaka yake.
Chai na kisusio?
Irrevant question.Hahahah... wewe unachekesha watu. Kwa huyo wewe ukitumwa ukapige mtu Risasi then wewe hutokuwa na hatia ila yule aliyekutuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa huwezi ukapata nyumba ya NHC bila kuwa na pesa. Baadae wakauziwa kwa bei ya kutupwa. Hili halilalamikiwi isipokuwa kwa hawa waliouziwa nyumba hizo ambao ni maskini kiasi kuwa wanalipia deni hilo la ununuzi kutoka pesa ya kustaafu. Zote zilalamikiwe kwa kuuzwa maana zote za serikaliMada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Tunaomba ushahidi wa hao ndugu na jamaa jinsi walivyouziwa. Weka hapa jamvini hati na plot number na kama hawakuwa watumishi wa serikali thibitisha pia.Baraza lilamua "ndugu na hawara" wauziwe pia?
Watu wengi humu wamebakiza ushabiki na chuki.hawaweki facts.Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali