Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwa hiyo nyumba inayozungumziwa imeuzwa kwa kibali cha nani??? Kama maagizo hayakuanzia kutolewa kwenye kikao cha mabaraza la mawaziri??wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani,kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu..kwani yalikuwa maamuzi yake.binafsi..wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna.ufisadi..? hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...