Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani,kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu..kwani yalikuwa maamuzi yake.binafsi..wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna.ufisadi..? hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...
Kwa hiyo nyumba inayozungumziwa imeuzwa kwa kibali cha nani??? Kama maagizo hayakuanzia kutolewa kwenye kikao cha mabaraza la mawaziri??
 
Fala wewe .nyumba hazihami ila unaweza kwenda kutonyesha hizo unazodai alihonga kama njugu zilipo. Au kiswahili hujui?
Jinga sana we jamaa. Sipo kwenye kujadili mada ila kukurekebisha hicho Kiswahili ulichotumia as if nyumba zinahama. Endelea kujadili mada na wenzio bila shaka wapo watakaokuonyesha zilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waliompiga TLissu anawajua yeye mwenyewe na dereva wake aliyemficha nadhani..aje polisi atoe ushahidi atuambie hata sura zai zinafananaje basi..amebaki anarukaruka kama kishada kwenye nchi za watu tu.. sijawahi sikia kashfa ya uuzaji wa nyumba kuhusiana na bei..wengi wanalalamikia maamuzi tu ya kuamua kuuza nyumba za serikali labda hayakuwa maamuzi sahihi kwa.wakati ule..huo ni mtazamo wa nje huku sisi wananchi..lakini inawezekana kwa mtazamo wa ndani wa serikali inawezekana walikuwa na sababu za msingi. za kwanini. walifanya.hivyo..sawa jomba

'Inawezekana/ nnadhani /labda ,haya Maneno yana maana ya kutokuwa na hakika ya jambo flani unalo litetea.Una simamia wapi !?

Jifunze pia kutumia alama sawa sawa ili zilete maana sahihi ya unacho kiwasilisha.
 
..tunapozungumzia uuzwaji wa nyumba za serikali yeye ndiye FISADI MKUBWA kuliko wote.

..tena alidanganya bungeni kuwa serikali itapata faida na mapato ya kujenga nyumba nyingi zaidi.

..na alisimamia uuzwaji wa nyumba za serikali nchi nzima kwa bei ya kutupa / hasara.
akampa na hawala yake na mdogo wake
 
Magazeti yalilalsmikiwa na mtuhumiwa?
Unaoushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.
 
Waziri hananguvu ya kuuza nyumba za serikali ni rais alimtumA waziri kuuza mlaumuni mkapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

..askari aliyefyatua risasi na ikaua mtu asiye na hatia hawezi kujitetea eti alitumwa na mkubwa au kamanda wake.

..Mawaziri wanapaswa kuwa waangalifu. Utetezi kwamba wametumwa na Raisi kufanya ufisadi hauna mashiko mahakamani, na hata mtaani.

..Wakumbuke kuwa siku wakifikishwa mbele ya sheria watakuwa peke yao. Raisi analindwa na katiba kuwa hawezi kushtakiwa. Waziri hana kinga hiyo.

..Nadhani umenielewa.
 
Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Ndio maana Mbowe anaogopa kujenga Ofisi Kuu anahisi kuna wajanja watapiga akitoka?
 
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.

Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.

Source: ITV Habari
DCI afanye upelelezi wa waziri alieuza nyuma za serikali miaka ya 90, afanye haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom