Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Utawaweza Majaji wa JF 😀🤣 wenyewe wamekazana na rufaa tu utasema angefirwa mama yake sjui kama angesema mambo ya Rufaa hapa.Ushahidi wa nini hukuona ile clip binti kaomba maji ya kunywa wakamnyima,akanuomba msamaha afabde hakusikilizwa,unataka ushahidi gani tena
Chawa hamna hata aibuSasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair
Mh una taaluma ya sheria?Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
Ishu ya babu seya kuna mengi ndani yake,inasemekana alikula tamu ya mkuu wa kaya wa kipindi kile,so akabambikiziwa kesi,ndio maana akaja kuachiwa
Exactlly!! 👏Kwaiyo Rais aifose mahakama akiwa kwenye Media kwamba majaji wafanye haraka kuhukumu kesi fulani au??!!!!! Au aseme hao wabakaji wafungwe wasiachiwe huru
Kuna mpuuzi mmoja humu JF alikuwa anafungua nyuzi kama zote akijiapiza hawatafungwa kwasababu eti serikali inawapigia magoti asikari nikamwambia hajui alifanyalo.
Serikali iwapigie magoti asikari wangekuwa wanaishi maisha magumu kama mawe wakati na baada ya ajira?
Nimemsahau huyu member lakini nilichokuwa namhakikishia tu ni kwamba wanaenda kufungwa kwakuwa hana uelewa wa mambo ya sheria nikaona anaendeshwa na ego tu.
Mhimili wa mahakama na executive ni vitu viwili tofauti. Samia hahusiki hapaSasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair
Naiman bado yupo mtaani akichakaza marinda kwa raha zake.Case ya RC Nawanda, hata hatujui imeishia wapii Lol.
Itakuwa labda lipo nyuma ya pazia kushughulikia rufaa?Haki imetendeka.
Vipi kuhusu Afande Fatma? Kubwa la maadui?
Afande F Yeye Amechomolewa KimkakatiAfande,vipi?! Na yy mwenendo wake wa kesi vipi?
🤣😂Haki imetendeka.
Vipi kuhusu Afande Fatma? Kubwa la maadui?
Jiwe La FatumaAkina nyundo wamekula nyundo kweli kweli🔨
Bush lawyer unachekesha...hiyo imeisha hawachomoki hao sahau.kwani wewe ejuaje ni wao kwenye video? Hujawahi kuona video za kuedit? Na hapo ndipo gap lilipo kwenye hii kesi. Kwa aina ya makosa kuna kosa limekosekana ambalo lilitakiwa liwepo ila sasa lazima kifaa kilichorekodi na kutuma lazima nacho kiwepo. Huo ndio mtihani uliokuwepo na hautaishi miaka mingi sana wataenda kutokea Mahakama ya Juu ya Rufaa