Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Na yule Afande aliyewatuma amefanywa nini?
This seems to me to be such a harsh punishment.
Hao wangechapwa viboko basi.
Nasikitika sana.
Nilipita ghetto siku moja vijana walikuwa wanaelezana,
My people are suffering from lack of knowledge.
 
Jidanganye... hata wakate rufaa ahera, Hakuna mahakama popote ulimwenguni huu itawaachia huru kwa kitendo walichofanya. Kama ni ndugu zako kubalini matokeo mmeshapoteza hao kwa ubumunda wao

Kwanza sina undugu nao, pili nimetoa Comment kuhusu mahakama ya rufaa sababu huwa nasoma sana appeal zinazofika kule sijaandika kishabiki na ni kweli Court of Appeal wanaweza ku upheld conviction au kuondoa itategemea na argument za kisheria.

Wewe kusema moja kwa moja hawatoboi labda kama wewe ni Justice of Appeal na utakaa kwenye hiyo panel ya rufaa yao, vinginevyo acha mabishano ya kisheria yachukue nafasi yake.
 
naunga mkono hoja yako.

Kuna kesi zingine zinasota hapo hadi miaka 2. Kumbe inawezekana kusikiliza kesi haraka kiasi hiki?!
basi wote watendewe haki sawa.
Mawakili ndiyo wanapenda kurefusha kesi kwa visababu vya kijingajinga, Muheshimiwa akipanga tarehe utaona wanafungua vi dairy vyao na kuanza kutoa sababu eti tarehe hiyo nina kesi,sasa inabidi na Muheshimiwa nae atafute tarehe ya mbele zaidi,na tarehe ikifika anakuja na sababu nyingine ya kufiwa sijui na nani, yaani ni janjanja tu ili wale pesa za wateja kirahisi!!
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.

Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.

Pia soma
Safi sana
 
Kuna kitu sijakuelewa, Jana ndo mara ya kwanza naona ile video ya kifedhuli ya ubakaji

Swali langu mbona waliokua wanambaka wanaonekana ni watano (ikiwemo huyo nyundo aliokua ana record) ila tangu naskia kesi naona ni watuhumiwa wanne tu???

Au huyo mmoja mganga wake mkali???

Maana sielewi, how did the prosecution team miss this?
 
Atakuwa kakimbilia mashariki ya kati!
 
Kuna kitu sijakuelewa, Jana ndo mara ya kwanza naona ile video ya kifedhuli ya ubakaji

Swali langu mbona waliokua wanambaka wanaonekana ni watano (ikiwemo huyo nyundo aliokua ana record) ila tangu naskia kesi naona ni watuhumiwa wanne tu???

Au huyo mmoja mganga wake mkali???

Maana sielewi, how did the prosecution team miss this?
Labda anatokea CIA wameona mambo yasiwe mengi idara itapakwa mavi nawaza tu hapa
 
Labda anatokea CIA wameona mambo yasiwe mengi idara itapakwa mavi nawaza tu hapa
Ushahidi wa kumtia hatiani haujitoshelezi,kwa hiyo kumpeleka mahakamani is waste of time na kuepuka unnecessary costs!! Ila ukipatikana Ushahidi mpya anapanda bila shida!!
 
Ushahidi wa kumtia hatiani haujitoshelezi,kwa hiyo kumpeleka mahakamani is waste of time na kuepuka unnecessary costs!! Ila ukipatikana Ushahidi mpya anapanda bila shida!!
Ushahidi upi boss wakati video inajieleza yenyewe
 
Ushahidi upi boss wakati video inajieleza yenyewe
Sasa kwenye video katajwa Afande, sasa Nchi ina Ma Afande wa ngapi!? Au unachukua habari za mitandaoni ndiyo upeleke mahakamani kama ushahidi wako!!??
 
Nyundo na wenzie walijituma wenyewe, dada alirecordiwa ameombe msamaha Nyundo na wenzie ambao walikuwepo eneo la tukio.

Hongereni
 
Back
Top Bottom