Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Nadhani humu Kuna watu wa magereza na watu wa mahakama.
Wale wahalifu wamehukumiwa kwenda jela maisha na kumlipa yule binti milioni moja moj.
HIZI PESA WATAZILIPA LINI NA WATAZITOA WAPI?
 
Sasa Mkuu unaongea nini kiongozi?, ngoja nikupe shule kidogo maana nauhakika itakusaidia. Kwanza mtuhumiwa hana jukumu lakuthibitisha mashtaka dhidi yake yeye ni mtu asiye na hatia hata unapomuona pale Mahakamani sawa.

Pili, Jamhuri au upande.wa Mashtaka ndio wanatakiwa kuthibitisha mashtaka yao yote Mahakamani, kazi ya mshtakiwa ni moja tu kuonesha madhaifu ya madai na ushahidi wa Jamhuri au mshtaki. Na hawa walikuwa na wakili hivyo hakuna wasi wasi kuwa aliufanya hilo jukumu.

Sasa swali gumu hata kwa mtu aliye nje ya hii kesi ni nani aliyesambaza hizo video?, hauwezi kusema ni hao wakina Nyundo sababu hakuna kosa walilotiwa hatiani la kusambaza picha chafu.

Sasa kama halipo, umma ulizipata video hizo kupitianani?, mbona hayupo Mahakamani? Je alisahaulika au aliachwa kwa makusudi ya wazi sababu huyo angekuja kuwatoa wote hatiani?

Hayalabda tuulizane swali rahisi, zile video zilichukuliwa kwa kupitia kifaa gani?, kama ni simu ni simu aina gani? Je ilitolewa Mahakamani kama ushahidi? Ni simu ya nani? Huyo mtu ameshitakiwa kwa kusambaza video za ngono? Kwanini.hajashitakiwa? Au ni simu au kifaa kilichorekodi hakikupatikana?. Na kama hakikupatikana Mahakama imewezaje kuamini uhalali wa video hizo ambazo kwa teknolojia ilipofika inaweza kutengenezeka?, mwisho je Mahakama ilipuuza utaratibu wa kisheria wa kuchukua ushahidi wa kielekroniki unaotaka kifaa cha chanzo cha ushahidi kiweze kutambulika na kuletwa kama ushahidi?
Kwa maslahi mapana ya haki inabidi uungane na timu ya mawakili wa kina nyundo kukata rufaa, ama kafungue kesi binafsi kama madeleka anavofanyaga kupinga ukiukwaji wa katiba, vinginevyo hapa unachofanya ni kunogesha kijiwe tu kwa stori. Until then kina nyundo ni mali halali ya magereza for the rest of their damn terrestrial life.
 
Nimefarijika sana Hawa Jamaa kuhukumiwa.
Naomba kuuliza Yule aliyekuwa anavuta bangi na hakumuingilia Yule binti nae anahukumiwa sawa na Wake waliomuingilia🙏 Km ni sawa Basi Sheria Yetu itakuwa Ina Mapungufu kidogo
una uhakika gani kama hakumuingilia vp kama alifanya yake kabla au baada ya kumaliza kurekodi labda alikula mzigo off kamera huwezi jua
 
Ina maana Wana Jf members munao comments, kwenye huu Uzi .
Muliiangalia ile video yote, pia mkafanya forensic ya video and photo.

Hongereni kwa Hilo.
 
Hii hukumu imetolewa kimihemuko sana, yani kifungo Cha maisha kwa kumpiga mtu mtungo?? Au ndio janja janja ili baadae wakate rufaa waachiwe huru? Vipi kuhusu afande aliewatuma??

Hizi hukumu wapigeni na mafisadi na wezi wa Mali za umma, sio walala hoi/watoto wa kimasikini ( walevi wa bange) mnawapiga mvua ya mawe alafu mafisadi wanapewa vifungo vya nje.
We msenge siku akipigwa mtungo mtoto wako alafu uje uandike upuuzi huu,,,
 
Inabidi Rufaa wakate hadi mahakama ya juu kabisa, nako wataangukia pua tu. Hii walichofanya hakuna mahakama popote ulimwenguni huu itawaachia huru haipo, nefaaa
Kwani sabaya ilikuwaje? Kapora watu mamilioni kaja kuwa huru kwa kulipa vilaki tu.
 
Wewehujui unachokiongea Mkuu sikushangai sana ila nataka nikuambie kuwa Mahakama haiendeshwi kwa mihemko.

yaani watu wa download video whatsApp alafu waje kushitaki watu na kuwafunga?, hell no!.

Maana yake ni kuwa hata wewemtu anaweza akaingia adobe photoshop akatengeneza picha zako unavuta fanya matendo ya kiuhalifu alafu wakakukamata wakakupeleka Mahakamani kisha ukapigwa mvua.

Ndio mazingira kama haya yamefangika kwenye hii kesi. Usidhani kuishangilia hiyo hukumu ndio kutenda haki au kuwa salama hapana hata kidogo.

Lazima Mahakama ilipaswa kujidhihirishia bila kuacha shaka kuwa kweli zile video zilichukuliwa na kifaa fulani chenye kameraaina fulani na IMEI namba fulani na kifaa hicho ni ama simu au kamera na lazima iwepo Mahakamani na itolewe na kupokelewa kama ushahidi. Bila hayo madai yote yanaangukia pua.

Sasa watu wamekaa wakaona kesi hiyo kuangukia pua italeta taharuki na aibu na wasi wasi wakaamua kufunga macho bora liende. Sawabora liende ila likifika Mahakama Kuu ambayo ni Mahakama ya rekodi hilo hawatakubali na wakikubali basi hakuna aliye salama hasa kwa dunia ya sasa ya AI ambayo hadi sauti na video za sura yako zinaaeza jitengenwza mtandaoni. Watakukamata na kukufunga wakati wala hujafanya hayo mambo.

Funguka akili, jua kwanini watu wachache wanaoelewa wanapinga hayo maamuzi, sio kwamba wanafurahia kilichosemwa kufanyika ila ni wanaangalia matumizi ya tafsiri za sheria na mihemko ya umma.

Amka Mkuu.
Mkuu unajua walivyokamatwa waliongea kitu gani huko polisi?
 
Wale jamaa hauwezi kuwaunganisha popote zaidi ya kutumia zile video, na uhakika anayetajwa kama afande angeonekana kwenye zile video na yeye ndio tungemuona akiambatana nao mahakamani kwa makosa yanayofuatana.

Utasema am joking ila ndio uhalisia, hii kesi inaudhaifu mkubwa upande wa mashtaka na doubts ni nyingi.
Unajitahidi kutetea wabakaji mzee, ni ndugu zako nini?
 
UCHAWI UPO

USHASIKIA MUME ALIEKUWA AKILA MZIGO NO...
HAYA VIHEREHERE WAMEENDA NDAN MAISHA

URAIAN WANABAKI MUME NA CHENCHEDE

KAZIMNAYO
 
NONDO KALA NONDO ZA VYUMA

HAYA MAJINA MNAPEWAGA MNAONA SIGA

SHETANI ANAYATUMIA HADI MKIWA UZEEN

ONA SASA KUZALILIKA NA KUZALILISHA FAMILIA/UKOOZENU

MUSHI
LEMA

MMETOKEA WAPI NA HUU UJINGA

KWA NIABA YA WACHAGA WOTE WENYE AKILI TIMAMU TUNAMPONGEZA SANA MH HAKIMU ..TUNALAAN WWALE WOTE WALIOSHIRIKI TENDO HILI NA WOTE WALIOSHIRIKI KUWATETEA

NOWAJUZE TYU HAO WALISHIKWA NA ROHO XA MASHETANI NA SIO WACHAGA WOTE WANA AKILI KAMA ZAO......

AAHSANTEN SANA MAHAKAMA MAANA HATAKABILA LIMESAFISHIKA KWA HUKUMU HII ...
 
UCHAWI UPO

USHASIKIA MUME ALIEKUWA AKILA MZIGO NO...
HAYA VIHEREHERE WAMEENDA NDAN MAISHA

URAIAN WANABAKI MUME NA CHENCHEDE

KAZIMNAYO
Newton's 3rd law of motion

Every action there is an equal n opposite reacton

Enjoy sana n all d best
 
a
Mdada wa watu amepumzika tuli anasubiri mil 4 zake hizisheria za kuongeza hizi adhabu mil ¹ kwa uhuni ule tuwatundike hata mil 10 wawaze kuuza malizao napema
 
Back
Top Bottom