Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Acha ujuaji matobo yapi yaliyoachwa? Ingekuwa kuna matobo unayodhani unafikiri wanasheria upande wa utetezi wangeacha kuyatumia kuwanasua wateja wao hadi wasubiri rufaa?

Hii kesi hata ikienda rufaa bado mahakama ya rufaa ita uphold uamuzi wa mahakama ya iliyotoa hukumu.
Umeshajiuliza yupo wapi aliyesambaza hizo video? Na je alishitakiwa wapi na lini? Kama ni wao wenyewe kama inavyosemwa umeshajiuliza kwanini hilo kosa halipo kwenye charge yao?

Ukipata majibu utayaona matobo.
 
Ungeuliza uelimishwe ingekusaidia sana wakati mwengine. Ila labda tu hawa jamaa wasikate rufaa tu.

Alafu heshima ni bure sana kiongozi, mim sio bush lawyer sawa.
Inabidi Rufaa wakate hadi mahakama ya juu kabisa, nako wataangukia pua tu. Hii walichofanya hakuna mahakama popote ulimwenguni huu itawaachia huru haipo, nefaaa
 
Hii ngoma ikifika Court of Appeal lazima tufurahi kule kama kuna ka procedure kalivurundwa huku chini hawapepesi macho.
Jidanganye... hata wakate rufaa ahera, Hakuna mahakama popote ulimwenguni huu itawaachia huru kwa kitendo walichofanya. Kama ni ndugu zako kubalini matokeo mmeshapoteza hao kwa ubumunda wao
 
Ungeuliza uelimishwe ingekusaidia sana wakati mwengine. Ila labda tu hawa jamaa wasikate rufaa tu.
Mpaka naandika haya nishapata elimu juu ya mwenendo wa kesi na mashitaka waliyotuhumiwa nayo. I was confident then they would be convicted and I'm certain even if they go for appeal their conviction is gonna be upheld. There's no escaping all doors are shut airtight
 
Inabidi Rufaa wakate hadi mahakama ya juu kabisa, nako wataangukia pua tu. Hii walichofanya hakuna mahakama popote ulimwenguni huu itawaachia huru haipo, nefaaa
Wewehujui unachokiongea Mkuu sikushangai sana ila nataka nikuambie kuwa Mahakama haiendeshwi kwa mihemko.

yaani watu wa download video whatsApp alafu waje kushitaki watu na kuwafunga?, hell no!.

Maana yake ni kuwa hata wewemtu anaweza akaingia adobe photoshop akatengeneza picha zako unavuta fanya matendo ya kiuhalifu alafu wakakukamata wakakupeleka Mahakamani kisha ukapigwa mvua.

Ndio mazingira kama haya yamefangika kwenye hii kesi. Usidhani kuishangilia hiyo hukumu ndio kutenda haki au kuwa salama hapana hata kidogo.

Lazima Mahakama ilipaswa kujidhihirishia bila kuacha shaka kuwa kweli zile video zilichukuliwa na kifaa fulani chenye kameraaina fulani na IMEI namba fulani na kifaa hicho ni ama simu au kamera na lazima iwepo Mahakamani na itolewe na kupokelewa kama ushahidi. Bila hayo madai yote yanaangukia pua.

Sasa watu wamekaa wakaona kesi hiyo kuangukia pua italeta taharuki na aibu na wasi wasi wakaamua kufunga macho bora liende. Sawabora liende ila likifika Mahakama Kuu ambayo ni Mahakama ya rekodi hilo hawatakubali na wakikubali basi hakuna aliye salama hasa kwa dunia ya sasa ya AI ambayo hadi sauti na video za sura yako zinaaeza jitengenwza mtandaoni. Watakukamata na kukufunga wakati wala hujafanya hayo mambo.

Funguka akili, jua kwanini watu wachache wanaoelewa wanapinga hayo maamuzi, sio kwamba wanafurahia kilichosemwa kufanyika ila ni wanaangalia matumizi ya tafsiri za sheria na mihemko ya umma.

Amka Mkuu.
 
Umeshajiuliza yupo wapi aliyesambaza hizo video? Na je alishitakiwa wapi na lini? Kama ni wao wenyewe kama inavyosemwa umeshajiuliza kwanini hilo kosa halipo kwenye charge yao?

Ukipata majibu utayaona matobo.
Ufafanuzi ulitolewa, adhabu ya kusambaza video ni ndogo wakati ya ubakaji ni kubwa. So dpp aliamua kuwinda samaki mkubwa shitaka la kubaka.
 
Wewehujui unachokiongea Mkuu sikushangai sana ila nataka nikuambie kuwa Mahakama haiendeshwi kwa mihemko.

yaani watu wa download video whatsApp alafu waje kushitaki watu na kuwafunga?, hell no!.

Maana yake ni kuwa hata wewemtu anaweza akaingia adobe photoshop akatengeneza picha zako unavuta fanya matendo ya kiuhalifu alafu wakakukamata wakakupeleka Mahakamani kisha ukapigwa mvua.

Ndio mazingira kama haya yamefangika kwenye hii kesi. Usidhani kuishangilia hiyo hukumu ndio kutenda haki au kuwa salama hapana hata kidogo.

Lazima Mahakama ilipaswa kujidhihirishia bila kuacha shaka kuwa kweli zile video zilichukuliwa na kifaa fulani chenye kameraaina fulani na IMEI namba fulani na kifaa hicho ni ama simu au kamera na lazima iwepo Mahakamani na itolewe na kupokelewa kama ushahidi. Bila hayo madai yote yanaangukia pua.

Sasa watu wamekaa wakaona kesi hiyo kuangukia pua italeta taharuki na aibu na wasi wasi wakaamua kufunga macho bora liende. Sawabora liende ila likifika Mahakama Kuu ambayo ni Mahakama ya rekodi hilo hawatakubali na wakikubali basi hakuna aliye salama hasa kwa dunia ya sasa ya AI ambayo hadi sauti na video za sura yako zinaaeza jitengenwza mtandaoni. Watakukamata na kukufunga wakati wala hujafanya hayo mambo.

Funguka akili, jua kwanini watu wachache wanaoelewa wanapinga hayo maamuzi, sio kwamba wanafurahia kilichosemwa kufanyika ila ni wanaangalia matumizi ya tafsiri za sheria na mihemko ya umma.

Amka Mkuu.
Kwa hiyo unadhani kesi iliegemea ushahidi mmoja tu wa video ya whatsapp? You must be joking dude
 
Ufafanuzi ulitolewa, adhabu ya kusambaza video ni ndogo wakati ya ubakaji ni kubwa. So dpp aliamua kuwinda samaki mkubwa shitaka la kubaka.
Hakuna ujinga kama huo kwenyedunia Mkuu. Haki ni kwa kila kosa na kila kosa lazima mtuhumiwa ashitakiwe nalo hauwezi ukaacha kosa lolote lile hata falsafa ya sheria inakataa hicho kichekesho.

ndio maana kuna watu hapa hapa nchini mwaka huu huu wameshitakiwa hadi makosa zaidi ya 100 kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom