Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Jidanganye... hata wakate rufaa ahera, Hakuna mahakama popote ulimwenguni huu itawaachia huru kwa kitendo walichofanya. Kama ni ndugu zako kubalini matokeo mmeshapoteza hao kwa ubumunda wao
Mawakili ndiyo wanapenda kurefusha kesi kwa visababu vya kijingajinga, Muheshimiwa akipanga tarehe utaona wanafungua vi dairy vyao na kuanza kutoa sababu eti tarehe hiyo nina kesi,sasa inabidi na Muheshimiwa nae atafute tarehe ya mbele zaidi,na tarehe ikifika anakuja na sababu nyingine ya kufiwa sijui na nani, yaani ni janjanja tu ili wale pesa za wateja kirahisi!!naunga mkono hoja yako.
Kuna kesi zingine zinasota hapo hadi miaka 2. Kumbe inawezekana kusikiliza kesi haraka kiasi hiki?!
basi wote watendewe haki sawa.
Safi sanaMahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.
Pia soma
WamestahiliAkina nyundo wamekula nyundo kweli kweli🔨
Atakuwa kakimbilia mashariki ya kati!Kuna kitu sijakuelewa, Jana ndo mara ya kwanza naona ile video ya kifedhuli ya ubakaji
Swali langu mbona waliokua wanambaka wanaonekana ni watano (ikiwemo huyo nyundo aliokua ana record) ila tangu naskia kesi naona ni watuhumiwa wanne tu???
Au huyo mmoja mganga wake mkali???
Maana sielewi, how did the prosecution team miss this?
Labda anatokea CIA wameona mambo yasiwe mengi idara itapakwa mavi nawaza tu hapaKuna kitu sijakuelewa, Jana ndo mara ya kwanza naona ile video ya kifedhuli ya ubakaji
Swali langu mbona waliokua wanambaka wanaonekana ni watano (ikiwemo huyo nyundo aliokua ana record) ila tangu naskia kesi naona ni watuhumiwa wanne tu???
Au huyo mmoja mganga wake mkali???
Maana sielewi, how did the prosecution team miss this?
Wangetoa taarifa basiAtakuwa kakimbilia mashariki ya kati!
Sina la kusema,ila kila mtu na bahati yake!!Sio ajabu kesho ukawaona mtaani.
Ushahidi wa kumtia hatiani haujitoshelezi,kwa hiyo kumpeleka mahakamani is waste of time na kuepuka unnecessary costs!! Ila ukipatikana Ushahidi mpya anapanda bila shida!!Labda anatokea CIA wameona mambo yasiwe mengi idara itapakwa mavi nawaza tu hapa
Ushahidi upi boss wakati video inajieleza yenyeweUshahidi wa kumtia hatiani haujitoshelezi,kwa hiyo kumpeleka mahakamani is waste of time na kuepuka unnecessary costs!! Ila ukipatikana Ushahidi mpya anapanda bila shida!!
Sasa kwenye video katajwa Afande, sasa Nchi ina Ma Afande wa ngapi!? Au unachukua habari za mitandaoni ndiyo upeleke mahakamani kama ushahidi wako!!??Ushahidi upi boss wakati video inajieleza yenyewe
Afande,vipi?! Na yy mwenendo wake wa kesi vipi?