Nyuzi za wafuatao zinaashiria ni watu wenye akili nyingi wanaojua mambo mengi. Nyuzi zao sio za kupita bila kuzisoma

Wezenu uchawa umewazidi mpka wanavunjika migongo kwenye majukwaa hko.
 
34569 coded
 
sawa
 
Faizafoxy Hana anachojua katika dini sanasana ni mropokaji Tu...

Kama tabligh maneno mengi elimu ya dini 0

Mwambie atafute ndoa Kwanza
 
11. Mimi
 
Asante Mkuu kwa Kuutambua uwezo wangu. Ukiona Great Thinker hapa JamiiForums anakupa Heshima hii jua una Kitu na wa Thamani pia. Kuna Watu najua kwa GENTAMYCINE Kutajwa hapa na Kusifiwa hivi watakuwa Wameumia na Wamenuna mno.

Huwezi Kiasili Wewe kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" halafu usiwe na Mvuto kwa Watu na Thamani yako Machoni mwa Watu isionekane.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
It depends on your interest
 
Kuna thread huandikwa kwaaajili ya sifa, mtu apate wachangiaji Wengi, na kukera watu.
Hapa tunakerana. Kuna watu wa hovyo kabisa unatuambia tusipite thread zao.
 
huyo namba 2 ni chawa nyuzi zake zimejaa sifa za kijinga
 
Watu tunawaza project kubwa za dunia ww unafikiria hutu tu thread twa jf... Miaka billion ijayo ndo michoro tunayochora kila siku sio wewe kaz yako ni kulamba mat*ko ya mama Abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…