🗑️🗑️🗑️🗑️Katika hiyo list Kuna watu wenye nyuzi zinazotia kichefuchefu wakiongozwa na
1. Lucas mwashambwa
2. Mamasamia2025
3. Faizafoxy mwarabu wa Tabora
Halafu Kuna chawa mwingine mtafuta sifa na teuzi ChoiceVariable.
Mimi najiuliza, kwanini watoto wa kiume wamuwezi kusimama na miguu yenu wenyewe mnategemea uchawa? Mbona fursa ziko nyingi tu.
mavi matupu. kuna nini hapo? Mwashamba? Rubbish!Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.
Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
hela za ujenzi zishatafunwa na Mbowe
NakaziaUlianza vizuri sana ila baada ya kuweka list no.1 na no.2 umenikera kinoma
Ondoa jina la Lucas mwashambwa zaidi ya uchawa, kulamba watu miguu, kusifu na kuabudu watawala hamna kingine anachokijuaWakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.
Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Hapo namba mbili lucas muondoe umekosea jamaa muda wote ni mnazi na yupo biased kuitetea CCM sio kama kina brother paschal Huwa wana sifu na kukosoa.....Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.
Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Pia kuna;Hapo namba mbili lucas muondoe umekosea jamaa muda wote ni mnazi na yupo biased kuitetea CCM sio kama kina brother paschal Huwa wana sifu na kukosoa.....
To add few
Bujibuji
Liquid
Boban sunzu
Na wengine wenzangu wataongezea
Uwo ni mtazamo wake. Don't take it personal.mbona engineer wa magari na yule mtaalamu wa simu IT wa Taifa umewaacha??.....Wewe bure kabisa
bahati mbaya, unaweza kujikuta wewe ndio hauna akili kabisa kuliko wote, au kiwango cha akili ulichowapimia hao ni cha chini kuliko standard ya akili tulizonazo wengine.Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.
Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Toa Lucas Mwashambwa , weka ExtrovertWakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.
Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Toa MamaSamia2025 weka Carlos The Jackal LIKUD LuchaWakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.
Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Huna tofauti na CHADEMA wanaolilia uteuzi wa katibu mwenezi wa CCM. Jali mambo yako jomba
maoni yangu tuHuna tofauti na CHADEMA wanaolilia uteuzi wa katibu mwenezi wa CCM. Jali mambo yako jomba