sawa, ila urembo wa nywele za mzungu, mchina na sijui brazilian hair , je hakuna ya kiafrika jamani hapa kwetu?Mi mama toka mdogo ananiambia asilimia 90 wanawake wakijiremba wanajiremba kwa ajili ya kwake mwenyewe sio kwa ajili ya mtu..ndo walivoumbwa kwaiyo huo urembo wao haukuhusu
Wanavaa ndefu, wanachobadili ni coloursYapu, ila wanavaaa ya kiafrika aisee hao wazungu au ya kufanana na nywele zao ndefu na laini?
Haaa haaa sawa mkuu , Ila ningependa kujua jina lako kama halijatoka kwao ...Wanavaa ndefu, wanachobadili ni colours
au wenye vipara wanaume wanaficha vipara vyao
Sasa sie huku limbukeni tunakoroga mungwele kila kona na bila hata kujjua tawafanya nini
jina langu maarifa halijatoka unyamwezini.Haaa haaa sawa mkuu , Ila ningependa kujua jina lako kama halijatoka kwao ...
Safi sana kama ni la kikwenu ! Wewe na wazazi wako hamjatekwa kiakili na hao jamaajina langu maarifa halijatoka unyamwezini.
Kubadilika itakuwa ni vigumu huwezi kumwambia mwanamke mwenye upara asivae wigi ni sawa na kumwambia mwanaume usichepuke. Na kwa hawa masharobaro wao umri ukifika 30 watawacha wenyewe tu.je wanweza kubadilika ama tutumie njia ipi kuwasaidia ?
Teh nilikuwa nakusubiri kwa hamu. Wanagusaje maslahi yako etiHalafu mna discuss kabsa eti mfanyaje kuondoa hii, nini chawawasha?
Kwani tumesema hatuwezi jizuia au kuacha?
Kama tunavaa it means tunapenda.
Kama ni vichwa si vyetu!
Mtuwache na wig zetu na zazuu zetu!