Nywele bandia: Je ni mvuto, au kudharau uafrika?


Natamani, nione familia yako [yenu] aisee.

Sasa hawa wengine tunawasaidiaje sasa?
 

Safi, nimeipenda hii!!, hebu waeleze ulipo angalau waje uwasaidie
Wasiingeinge tu vitu vya kuwa wazungu, mara wachina sijui brazilian hair zote hizi majanga sana.
 
Hehehe!, nawashangaa haswa!

Pilipili ya shamba...
Tena ungejua usingesema au kuandikahivyo ulivyoandikaa hapa.
Maana , ukikutana na mzungu ukamuuliza kuhusu wewe kuiga nywele yake ungejifukia ardhini labda kama umekutana naye alikuonea aibu hakutaka kukueleza ukweli kuhusu wao wanavyokuona na hizo nywele za kubandika.

Tena, usiombe ukakutana na watoto ambao ni 5 years to 15 years hapo utaiiona dunia ni chungu.

Mimi , sina shida na biashara yako wala sikufahamu ila nahitaji kuona waafrika tukiwa waafrika na sio kitu kingine.
Pole sana aiseee.
 
mmmmmmh,,, sasa hakuna namna ya kuwasaidia aiseee!!??
Kwa hili la nywele bandia za kizungu wameshatushika pabaya. Kila mdada nawaza kutumia hizo nywele ili kunogesha muonekano wa mwanadada.
 
Natamani, nione familia yako [yenu] aisee.

Sasa hawa wengine tunawasaidiaje sasa?
Familia yangu ya kawaida tu ila haina ushamba wa kuiga vitu vya magharibi.

Mwarubaini wa hili swala ni kuwapo na mapinduzi ya kifikra.kufanyike kampeni endelevu ya kujifunza,kuzienzi na kuzipenda tamaduni,mila na asili yetu(zile mila nzuri tu).Viongozi,Wasanii wetu na watu wenye majina na heshima katika jamii wawe wakwanza kuonyesha kwa vitendo kuenzi tamaduni zetu.
Nywele zozote zikitunzwa vizuri bila hata kuziwekea kemikali ama viunganishi bandia hupendeza na kuvutia.tuwape moyo na kuwafunza wanetu,wake zetu na dada zetu wazitunze na kuzibakisha nywele zao katika asili yake.
 
Haaa haaaa acha mi nijichekeee, kwanza nitarudi tena...... eti wengine wanakuwa wazeeee zaidi badala ya kuwa warembo!!

Sasa, tuwasaidieje ili waache?

On a serious note......Fanya tuu random sampling kwa wadada/wanawake unaokutana nao..... Mpaka wiki hii inaisha then lete mrejesho..... kuna ambao wamevaa/ wamesuka hayo manywele na wanaonekana ni wazee kuliko umri wao halisi.....
 
Sawa, nimeipenda!!
 
On a serious note......Fanya tuu random sampling kwa wadada/wanawake unaokutana nao..... Mpaka wiki hii inaisha then lete mrejesho..... kuna ambao wamevaa/ wamesuka hayo manywele na wanaonekana ni wazee kuliko umri wao halisi.....


Kweli, asante,
sasa tuwasaidieje?
 
On a serious note......Fanya tuu random sampling kwa wadada/wanawake unaokutana nao..... Mpaka wiki hii inaisha then lete mrejesho..... kuna ambao wamevaa/ wamesuka hayo manywele na wanaonekana ni wazee kuliko umri wao halisi.....

Hiyo ni kweli aisee...
 
...Tena, usiombe ukakutana na watoto ambao ni 5 years to 15 years hapo utaiiona dunia ni chungu.

Pole sana aiseee.


Watanifanya nini hao watoto mkuu?!..

N'wayz, nashukuru kwa pole nlishapoa.
 
Watanifanya nini hao watoto mkuu?!..

N'wayz, nashukuru kwa pole nlishapoa.

Kuna kipicha umeona mbuni akinyofoa wingi/nywele bandiko ya mwanamke sasa watoto saizi hiyo watakuwa wanazivutia juu kuona kama zako ama umebandika. na baada ya hapo utaona mtaa ni mchungu kutembea aiseee
 
Reactions: kui
Mhhhh kina nani hao,bongo Flava na bongo movies ladies wooote wanaeka malace wig na kusuka rasta,wabunge, watangazaji nk
Walau dada alietulia anastyle yake ya dread hivi naona ni nywele yake natural
 
Kuna kipicha umeona mbuni akinyofoa wingi/nywele bandiko ya mwanamke sasa watoto saizi hiyo watakuwa wanazivutia juu kuona kama zako ama umebandika. na baada ya hapo utaona mtaa ni mchungu kutembea aiseee


Ha ha!, that will never happen.

Lakini Poise, kwa nini mkose amani nyie wakati vichwa ni vyetu?
 
Oooh, Kui,
ok, hapa ni kwamba wachangiaji wengi wanasema wanakuwa wanona kuwa wako na watu wawili kwa wakati mmoja, yaani Mzungu na Mwafrika tena mwaafrika asiyejielewa, asiyejithamini na anayejidhalilisha.

Kwa hiyo wao wachangiaji wanapenda kuwa na mtu mmoja yaani kama ni m/mke mwaafrika ijulikane kuwa ni mwafrika au kama ni m/mke mzungu , muasia basi pia ijulikane na siyo SURA MBILI [ WATU WAWILI KATIKA MTU MMOJA]

Mimi ndicho nilichopata kama jumuisho la mada hii, japo bado maoni yanaendelea kutolewa.

Ila kama pana la ziada wahitaji jua we uliza.
Asante,
 
Reactions: kui
n
afurahi siku hz kuna baadhi ya watu weusi tumeanza kujitambua na kujua udhalimu wa white supremacy.tunaenda taratibu tutafika tuu.
 
hapo safi,
n

afurahi siku hz kuna baadhi ya watu weusi tumeanza kujitambua na kujua udhalimu wa white supremacy.tunaenda taratibu tutafika tuu.[/QUOTE

hapo safi je, mawazo yako juu ya hizo nywele ni yapi? je nwele hizo ni nzuri ama wewe waona vipi?
 
hapo safi,
binafsi sizipendi,napenda mtu aikubali race yake.kuweka nywele za bandia ni kuibeza race ya mwafrika.tuige yenye manufaa na yasiyo na manufaa tuachane nayo.naona mwanamke anavutia zaid akivipamba/akiviremba vtu vyake natural kuliko kubandika kitu cha bandia cha kuiga kutoka kwenye jamii ya rangi nyingine.pia nahisi mwanamke ambaye yupo natural kiasi flani ni anayejielewa sana kuliko mwanamke ambaye yupo fake almost kwenye kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…